Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,147
- 2,008
Bwana Alitoa,
Alikuwa na mdomo sana na kubadilisha wanaume tena kwa ndoa kila msimu ,Mungu amhifandhi mahara alipojiandaliaKutoka kwenye ukurasa wa instagram wa Maulid kitenge wanasema aliumwa akalazwa muhimbili ndio mauti yakamkuta
Kwa wasiomjua ni mtangazaji mkongwe,kabla ya umauti wake alikuwa akifanya kazi Wasafi fm
kwenye eneo la kuolewa amefuzu na alikuwa na Bahat ya kuachika na kuolewaHuyu ndio aliolewa na yule shehe njaa wakaachana?