TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Kuna mtangazaji mmoja kijana,alimuoa Dida. Hata miezi SITA sidhani ilifika,akamuacha,baada ya kum trac Dida. Alimuaga jamaa anaenda kufanya u-mc lakini location ikasoma yupo Temeke sijui guest gani. Dida hakuwa na cha kujitetea. Sema jamaa alikuwa anaishi kwa Dida. Akabeba Marlboro yake. Pia nakumbuka clip moja ya Doto Magari,Dida kampigia simu aende Wasafi media,amkutanishe na mzazi mwenzie. Doto akakata simu akasema,Yani mwanamke mwenyewe ndoa nyingi zimemshinda anataka yangu ayaweke sawa?
R.I.P J.LO WA TANZANIA.
 
Noma sana!
 
Haraka sana unaweza leta taarifa kamili
Jina kamili
Wasifu
Chanzo Cha kifo
N.k
Anyway R.I.P
Dida Shaibu alikuwa mtangazaji maarufu wa Wasafi FM, kituo cha redio kinachomilikiwa na msanii Diamond Platnumz. Alianza kazi ya utangazaji Times FM kabla ya kujiunga na Wasafi FM, ambako alifanikiwa kujizolea mashabiki wengi kutokana na umahiri wake katika uwasilishaji wa vipindi. Dida aliongoza vipindi kama Mashamsham, ambacho kilipendwa na wasikilizaji kutokana na mazungumzo ya burudani na mitindo ya maisha.

Zaidi ya taaluma yake ya utangazaji, maisha yake binafsi yalivuta hisia za watu wengi. Dida aliwahi kufunga ndoa mara kadhaa, ikiwa ni pamoja na ndoa yake na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto, ambayo ilivunjika mwaka 2021. Licha ya changamoto hizo, Dida aliendelea kuwa na msimamo thabiti katika maisha yake ya kitaaluma na kijamii.

Kazi ya Dida katika vyombo vya habari ilimfanya awe mmoja wa watangazaji maarufu nchini Tanzania, akiheshimika kwa sauti yake ya kipekee na uwezo wa kuunganisha hadhira mbalimbali.

R.I.P
 
sasa yule dogo alipigwagwa naye picha akiwa anaoga utupu, yule dogolasi alikuwa mtangazaji, itakuwaje kama ndio kulikuwa na pipi tena. ndugu kuweni makini haya maisha Mungu ametupatia tuyatunze.
Watu wanakufa kila siku na hata hawana huo ugonjwa. Na kuna wengi wanatumia hizo dawa wana miaka zaidi ya 30 wandunda tu. Na mna uhakika gani kama ana huo ugonjwa?
 
Tatizo la mashudu yakifikia ukomo unakata moto gafla, mgonjwa anayetumia mashudu haugui akateseka, anakata moto kama mtu wa presha
Sio wote. Nimefanya kazi kwenye mambo hayo kwa muda mrefu na kuna watu wanaishi miaka zaidi ya 30 wakiwa wanatumia hizo dawa.

Tatizo kubwa ni kuupuuza ushauri wa daktari.

Kifo kikitaka kuja kina njia zake , haijalishi unaumwa au la.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…