TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Aya gani inasema hivyo kila mwanaume akifa anapata 72? Usipoleta hapa tutaamini huko makanisani uongo ni ibada moja wapo mnayofundishwa.
 
JLO alikuwa sinta tu
 
Bongo entertainment nzima imeoza:

1. Kibonde kaenda kwa gridi

2. Gadner kaenda kwa gridi

3. Ruge kaenda kwa gridi

4. CPwaa kaenda kwa gridi

5. Dida kaend akwa gridi
acha porojo mkuu, stori za vijiweni hizi
 
Bongo entertainment nzima imeoza:

1. Kibonde kaenda kwa gridi

2. Gadner kaenda kwa gridi

3. Ruge kaenda kwa gridi

4. CPwaa kaenda kwa gridi

5. Dida kaend akwa gridi

Uganda waliweza kupunguza gridi kwa kiwango kikubwa kwasababu walikuwa wanaweka wazi chanzo cha kifo ,huku kwetu ni ugonjwa wa moyo na kifua ,hili tuliliona sana enzi hizo na bado linaendelea.

 
Innalillah wainna illah raj'iun,
Dida jamaniii 😭😭😭😭
Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa, ooooh Dida jamani juzi tu kamzika mama ake bado alikua anaomboleza,

Innalillah wainna illah raji'un😭
Uache kusagana na wewe usijekufa kinembe kinaning'inia.
KUwa humble kukubali mikuyenge
 
Alikuwa na mdomo sana na kubadilisha wanaume tena kwa ndoa kila msimu ,Mungu amhifandhi mahara alipojiandalia

USSR
Kwakwel hata ukiangalia shape ya mdomo wake, ni mkubwa mnooo labda ndio maana alikua anachonga sana, na ukizingatia alikua akifanya kaz kwenye vipindi vya kuropoka ropoka.
Anyways.
R.I.P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…