King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Mara ya mwisho alifungua kipub
Mtaa ufipa, nyumban kwa rafiki yake remind...
Noma sana, kino magasho wengi sana, ukifungua pub/bar wanajaa kama wote.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ya mwisho alifungua kipub
Mtaa ufipa, nyumban kwa rafiki yake remind...
Na sinza na tabata balaa piaNoma sana ,kino magasho wengi sana ,ukifungua pub/bar wanajaa kama wote.
Aya gani inasema hivyo kila mwanaume akifa anapata 72? Usipoleta hapa tutaamini huko makanisani uongo ni ibada moja wapo mnayofundishwa.sasa wewe dini gani hiyo, mwanaume akifa anapata mabikira 72, ila mwanamke akifa hapati six park 72, yeye ni motoni moja kwa moja? au anapata nini? wanawake wanaohukumiwa kunyongwa wakiwa bikira, wanatakiwa kubakwa ili wakapelekwe motoni wasije wakaingia ahera. mood muongo kuliko hata shetani mwenyewe.
Hadi nawaza inawezekana hizi ndoa kufa kufa labda waume baadae walikua wanagundua hii kitu....Nimewaza km wewe...imagine mke wa kumbi la fire...akiona hz coment ni lazma ataenda hsp kufanya vipimo.
Ndiyo ivyo mkuuOh my God!
JLO alikuwa sinta tuKuna mtangazaji mmoja kijana,alimuoa Dida. Hata miezi SITA sidhani ilifika,akamuacha,baada ya kum trac Dida. Alimuaga jamaa anaenda kufanya u-mc lakini location ikasoma yupo Temeke sijui guest gani. Dida hakuwa na cha kujitetea. Sema jamaa alikuwa anaishi kwa Dida. Akabeba Marlboro yake. Pia nakumbuka clip moja ya Doto Magari,Dida kampigia simu aende Wasafi media,amkutanishe na mzazi mwenzie. Doto akakata simu akasema,Yani mwanamke mwenyewe ndoa nyingi zimemshinda anataka yangu ayaweke sawa?
R.I.P J.LO WA TANZANIA.
Uliwapima?Bongo entertainment nzima imeoza:
1. Kibonde kaenda kwa gridi
2. Gadner kaenda kwa gridi
3. Ruge kaenda kwa gridi
4. CPwaa kaenda kwa gridi
5. Dida kaend akwa gridi
acha porojo mkuu, stori za vijiweni hiziBongo entertainment nzima imeoza:
1. Kibonde kaenda kwa gridi
2. Gadner kaenda kwa gridi
3. Ruge kaenda kwa gridi
4. CPwaa kaenda kwa gridi
5. Dida kaend akwa gridi
Bongo entertainment nzima imeoza:
1. Kibonde kaenda kwa gridi
2. Gadner kaenda kwa gridi
3. Ruge kaenda kwa gridi
4. CPwaa kaenda kwa gridi
5. Dida kaend akwa gridi
Hata mimi nilifikiri hivyo dawa ya kupona ukwimi ni kutulia tu kuacha uzinifu basiWengi wanakua na maambukizi mapya ndo maana wanakua na maisha mafupi
Uache kusagana na wewe usijekufa kinembe kinaning'inia.Innalillah wainna illah raj'iun,
Dida jamaniii 😭😭😭😭
Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa, ooooh Dida jamani juzi tu kamzika mama ake bado alikua anaomboleza,
Innalillah wainna illah raji'un😭
Kwakwel hata ukiangalia shape ya mdomo wake, ni mkubwa mnooo labda ndio maana alikua anachonga sana, na ukizingatia alikua akifanya kaz kwenye vipindi vya kuropoka ropoka.Alikuwa na mdomo sana na kubadilisha wanaume tena kwa ndoa kila msimu ,Mungu amhifandhi mahara alipojiandalia
USSR
Kupona au ku survive na ARVS???Hata mimi nilifikiri hivyo dawa ya kupona ukwimi ni kutulia tu kuacha uzinifu basi
Sidhani, walikuwa hawa cheki afya kablaHadi nawaza inawezekana hizi ndoa kufa kufa labda waume baadae walikua wanagundua hii kitu...
Hakunaga kupumzika, the moment umezaliwa tu, jua u have either of two eternal addresses. Eternally in paradise or Eternally in hell so ni kaz kaz mwanzo mwishoapumzike kwa amani..!🙏View attachment 3115448
Sa muacho wa kila siku ilikua nini.....Sidhani, walikuwa hawa cheki afya kabla