TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Sio wote. Nimefanya kazi kwenye mambo hayo kwa muda mrefu na kuna watu wanaishi miaka zaidi ya 30 wakiwa wanatumia hizo dawa. Tatizo kubwa ni kuupuuza ushauri wa daktari.
Kifo kikitaka kuja kina njia zake , haijalishi unaumwa au la.
Namna watu wanaongelea hili suala unagundua elimu kubwa sana inahitajika kubwa sana
Mtu anaefata masharti huwa ni mzima kuliko hata wale wasio umwa ila wengi wasiofata masharti hasa kwa kuendekeza starehe kama pombe na kujisahau hao ndio hupata madhara
 
Wewe baada ya kujiuliza umejua utaenda wapi!?
 
Kuna watu eti wanategemea Google iwape taarifa kamili wakati sisi tunaongea sababu tuna experiences. Nimefanya kazi kusaidia mashirika ya watu wanaoishi na virus vya UKIMWI miaka, na nawafahamu wengi tu na ambao walijitangaza kuwa wao ni WAVIU.
 
Kuna watu eti wanategemea Google iwape taarifa kamili wakati sisi tunaongea sababu tuna experiences. Nimefanya kazi kusaidia mashirika ya watu wanaoishi na virus vya UKIMWI miaka, na nawafahamu wengi tu na ambao walijitangaza kuwa wao ni WAVIU.
Sikupingi halafu google na reality huwa ni vitu viwili tofauti sana ndio maana Kuna msemo unasema "don't google your symptoms"
 
Ni ache uongo? Nina watu nawafamu wamepata HIV mwaka 90 na bado wapo.
Swali ni walianza kunywa ARVs 90s?... sababu comment yako imesema WAMEKUA WAKINYWA DAWA FOR 30+ YRS na hapa ndo uongo ulipo

Na kwa taarifa tu sio kila 90s ni 30 years
Kwa hesabu za vidudu ni 1994 kurudi nyuma na hapo dawa zilikua hazijawa available huku kwetu
 
Una uhakika? Za bure ndio zilikuwa haziko available
 
Una uhakika? Za bure ndio zilikuwa haziko available
Hata studies zenyewe hazikuwa zimemature vizuri until mid 90s (I use google scholar sio wikipedia sawa?)..... Hongera kwa kuwa na watu waliokuwa na power ya kununua dawa toka kipindi wanasayansi wanajitafuta kupata regimen sahihi πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ πŸ˜„ 🀣
Kupata dawa 3 years tu toka first approval dunia nzima is no joke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…