Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,094
- 37,314
Kwa kweli ni presha sana sana ilikuwa ina msumbuaMara madonda ya tumbo..au ndo haya alikua unamuuzia dawa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kweli ni presha sana sana ilikuwa ina msumbuaMara madonda ya tumbo..au ndo haya alikua unamuuzia dawa...
😁😁Ila walimwengu jamanii kwani Dunia ina ugonjwa mmoja au kila anaye enda hospital ni mgonjwa ila ushauri wako nimeuzingatiaUsimuige mwenzio sasa, wewe zingatia dozi na uepuke maambukiz mapya
Sikio la kufa haliskiag dawaHata mimi nilifikiri hivyo dawa ya kupona ukwimi ni kutulia tu kuacha uzinifu basi
Suala si kufa maana kifo hakiepukiki, suala ni kuishi huku moyoni ukiwa na amani na nadhani kama mtu mzima unajua vitu vinavyokosesha amani, siyo?Ukiishi kwa utulivu hautakufa?
Namna watu wanaongelea hili suala unagundua elimu kubwa sana inahitajika kubwa sanaSio wote. Nimefanya kazi kwenye mambo hayo kwa muda mrefu na kuna watu wanaishi miaka zaidi ya 30 wakiwa wanatumia hizo dawa. Tatizo kubwa ni kuupuuza ushauri wa daktari.
Kifo kikitaka kuja kina njia zake , haijalishi unaumwa au la.
Ni ache uongo? Nina watu nawafamu wamepata HIV mwaka 90 na bado wapo.Acha uongo... Toka ARV zimerasimishwa bongo hazina hata miaka 25, Google is free
Wewe baada ya kujiuliza umejua utaenda wapi!?ndio yule aliyekuwa anapenda dogodogo? au mwingine. si ndio yule alikuwa anadai ana pesa nyingi? Pole sana kwa wafiwa, ila wanadamu jueni maisha yanapita, ngono zinapita, pesa zinapita, kila kitu unachokiona kinapita, everything in this world shall fade away, cha muhimu unachotakiwa kujiuliza ni, utakapokufa utaenda wapi? motoni au uzimani? where will you spend your eternity? hilo ndio liwe swali la kujiuliza kila utakapoamka, kwasababu hujui utakufa lini. Nina uhakika, as long as alikuwa Mtanzania, alishasikia injili ya Yesu Kristo, na ninyi nyote mnaosoma hapa hakuna siku ile atasema mbele za kiti cha hukumu kwamba hakusikia habari za Yesu Kristo, wote mmeshasikia hivyo ni hiari yenu kuamua hatima ya maisha yenu ya baadaye.
Mungu awasaidie
UshimenJamaa wa RIp classmate hajapita hapa 😂😂
Mzee wa kuporomosha matusi katika ubora wakoWewe choko,mchukue mumeo mkabarikiwe,naona una hasira ya kupewa talaka na yule bwana yako aliyekufumua marinda.
Kuna watu eti wanategemea Google iwape taarifa kamili wakati sisi tunaongea sababu tuna experiences. Nimefanya kazi kusaidia mashirika ya watu wanaoishi na virus vya UKIMWI miaka, na nawafahamu wengi tu na ambao walijitangaza kuwa wao ni WAVIU.Namna watu wanaongelea hili suala unagundua elimu kubwa sana inahitajika kubwa sana
Mtu anaefata masharti huwa ni mzima kuliko hata wale wasio umwa ila wengi wasiofata masharti hasa kwa kuendekeza starehe kama pombe na kujisahau hao ndio hupata madhara
Huyo mumeo hukuona matusi yake aliyoyaporomosha?Mzee wa kuporomosha matusi katika ubora wako
Sikupingi halafu google na reality huwa ni vitu viwili tofauti sana ndio maana Kuna msemo unasema "don't google your symptoms"Kuna watu eti wanategemea Google iwape taarifa kamili wakati sisi tunaongea sababu tuna experiences. Nimefanya kazi kusaidia mashirika ya watu wanaoishi na virus vya UKIMWI miaka, na nawafahamu wengi tu na ambao walijitangaza kuwa wao ni WAVIU.
Swali ni walianza kunywa ARVs 90s?... sababu comment yako imesema WAMEKUA WAKINYWA DAWA FOR 30+ YRS na hapa ndo uongo ulipoNi ache uongo? Nina watu nawafamu wamepata HIV mwaka 90 na bado wapo.
Bongo dawa zilikua available 1994 kurudi nyuma??? Hapa ndio hoja ilipoSikupingi halafu google na reality huwa ni vitu viwili tofauti sana ndio maana Kuna msemo unasema "don't google your symptoms"
Una uhakika? Za bure ndio zilikuwa haziko availableSwali ni walianza kunywa ARVs 90s?... sababu comment yako imesema WAMEKUA WAKINYWA DAWA FOR 30+ YRS na hapa ndo uongo ulipo
Na kwa taarifa tu sio kila 90s ni 30 years
Kwa hesabu za vidudu ni 1994 kurudi nyuma na hapo dawa zilikua hazijawa available huku kwetu
Mbona zilikuwepo kabisa tena walianza kwa kuzipata Nairobi (matajiri) Kisha ndio zikaja tz late 90sBongo dawa zilikua available 1994 kurudi nyuma??? Hapa ndio hoja ilipo
Hata studies zenyewe hazikuwa zimemature vizuri until mid 90s (I use google scholar sio wikipedia sawa?)..... Hongera kwa kuwa na watu waliokuwa na power ya kununua dawa toka kipindi wanasayansi wanajitafuta kupata regimen sahihi 😄 🤣 😂 😆 😄 😄 🤣Una uhakika? Za bure ndio zilikuwa haziko available
Kashaclarify ndugu yake hakupata za bure.....Mbona zilikuwepo kabisa tena walianza kwa kuzipata Nairobi (matajiri) Kisha ndio zikaja tz late 90s
Expert kabisa kazi nzuri endelea kuhudumia watu mkuu👏👏👏👏Kashaclarify ndugu yake hakupata za bure.....
1990, 3 years baada ya FDA approval.
Coz first promising regimen (tena combination) ilikua 1995
Endelea kutukana uzuri mmoja mimi siogopi matusi sio jiwe useme ukinitukana utaniumizaHuyo mumeo hukuona matusi yake aliyoyaporomosha?
Kumbe binti unanifuatilia,safi sana.