Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Kwani vipi, marehemu hakuwa humble?Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vipi, marehemu hakuwa humble?Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa,
Shost yenu jamani..poleni sanaNimeliaa sanaa, baada ya kupata taarifa hii saa 1 iliyopita.
Didaa ameniumaa mnooo. [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Itabidi ijumuishwe kwenye wasifu wake.
Apumzike kwa amani.
Mara madonda ya tumbo..au ndo haya alikua unamuuzia dawa...Moyo(presha) wametangaza hivyo
R.i.p dida
Waislam sasa mtwambie,
Mwanamke nae akijutunza Sana duniani akaishi maisha ya ndoa kadha wa kadha swafi kabisa bila kuzini na mtu
Kule mbinguni atazawadiwa Nini!
Acha uongo... Toka ARV zimerasimishwa bongo hazina hata miaka 25, Google is freeSio wote. Nimefanya kazi kwenye mambo hayo kwa muda mrefu na kuna watu wanaishi miaka zaidi ya 30 wakiwa wanatumia hizo dawa. Tatizo kubwa ni kuupuuza ushauri wa daktari.
Kifo kikitaka kuja kina njia zake , haijalishi unaumwa au la.
Umenena vyema mkuu, na tusihukumu wengine ili na sisi tusije hukumiwa, na umdhaniaye ndiye kumbe anaweza kuwa siye.Kidogo niulize.Kifo sio Jambo la kukebehi wote tutapitia. Koment za ugonjwa Naona ni nyingi. Hata anaejiona mzima anaweza akaugua na kutangulia😔
Nahisi Tukiwa humble hatufiKwamba tukiwa humble itasaidia nini? Kufa kupo pale pale!
Bila shaka hii ilimuumiza sanaInnalillah wainna illah raj'iun,
Dida jamaniii 😭😭😭😭
Jamani tuwe humble, maisha ya duniani ni mafupi sanaaaaa, ooooh Dida jamani juzi tu kamzika mama ake bado alikua anaomboleza,
Innalillah wainna illah raji'un😭
Uchebe ndio nani boss?Bongo watu wote maarufu wanaitwa wasanii,
Hata uchebe fundi garage nae anaitwa msanii!!
Kazi kweli kweli.
Alikuwa anaumwa nini jamani?Apumzike kwa amani.
Alkuwa anaumwa nini?Tatizo la huo ugonjwa cku izi unaondoka na afya yako tele.
Meya wa ilala sio kinondoniAliyeolewa na shehe wa mchongo ni diva...
Huyu dida yeye amewahi kuolewa Mara kadhaa na kuachika, ndoa yake ya mwisho nadhan ulikuwa na meya wa kinondoni Ila haikudumu hata miezi mitatu.
Ameacha watoto?Kuna mtangazaji mmoja kijana,alimuoa Dida. Hata miezi SITA sidhani ilifika,akamuacha,baada ya kum trac Dida. Alimuaga jamaa anaenda kufanya u-mc lakini location ikasoma yupo Temeke sijui guest gani. Dida hakuwa na cha kujitetea. Sema jamaa alikuwa anaishi kwa Dida. Akabeba Marlboro yake. Pia nakumbuka clip moja ya Doto Magari,Dida kampigia simu aende Wasafi media,amkutanishe na mzazi mwenzie. Doto akakata simu akasema,Yani mwanamke mwenyewe ndoa nyingi zimemshinda anataka yangu ayaweke sawa?
R.I.P J.LO WA TANZANIA.
Umemfahamisha vizur sana mkuu tena kwa mifano hai asipoelewa basi ana matatizo.Mkuu kuna species nyiing sana za hawa viumbe. Ukiwa kwenye grid na ukaanza kutumia dozi huwa wadudu wanakua neutralized harakati zao kwenye mfumo wa damu, sasa ikiishaonje tena ukaingiza wengine maana yake unaanzisha harakat mpyaaaaa hapo gaza kama za hezobollah , wakat hamas walishatulizwa so Israel hakuachi hakyanani kaz inaanza upya, mtifuano kwenda mbele lazima ukate moto
Shukrani na barikiwa sana kiongozi.Ndugu zanguni duniani hakuna mkamilifu na hakuna mtimilifu....Sisi sote kila mmoja wetu kwa namna moja au nyingine tuna upande wetu mweusi wa maisha yetu........
Si vyema kuwananga kwa sifa mbaya wenzetu waliotangulia mbele za haki bali iwe kama ukumbusho kwetu kwani sote safari yetu ni moja na hakuna ajuaye siku wala saa......
Mapungufu ni maumbile yetu lakini tumuombe mola tuwe na mwisho mwema.....kwani umbali uliopo baina ya kifo na mwanadamu ni karibu zaidi ya umbali wa kiatu na unyayo wake......
Tujitahidi kufanya stara kwa binadamu mwenzetu huku tukizidi kumuomba Mungu atupatie mwisho mwema na moyo wa kuyaacha mabaya ya wazi na yale ya sirini........
Hatupaswi kuogopa kifo bali tunapaswa kujiandaa na maisha baada ya kifo.....kwani hofu na mashaka haviondoi siku ya kufa bali matendo yako mema ndivyo vitakuweka Pema.........
Sisi sote ni wa mwenyezi Mungu na kwakwe tutarejea........