TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

TANZIA Dida Shaibu, mtangazaji wa Wasafi FM afariki Dunia

Dida Shaibu alikuwa mtangazaji maarufu wa Wasafi FM, kituo cha redio kinachomilikiwa na msanii Diamond Platnumz. Alianza kazi ya utangazaji Times FM kabla ya kujiunga na Wasafi FM, ambako alifanikiwa kujizolea mashabiki wengi kutokana na umahiri wake katika uwasilishaji wa vipindi. Dida aliongoza vipindi kama Mashamsham, ambacho kilipendwa na wasikilizaji kutokana na mazungumzo ya burudani na mitindo ya maisha.

Zaidi ya taaluma yake ya utangazaji, maisha yake binafsi yalivuta hisia za watu wengi. Dida aliwahi kufunga ndoa mara kadhaa, ikiwa ni pamoja na ndoa yake na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Omary Kumbilamoto, ambayo ilivunjika mwaka 2021. Licha ya changamoto hizo, Dida aliendelea kuwa na msimamo thabiti katika maisha yake ya kitaaluma na kijamii.

Kazi ya Dida katika vyombo vya habari ilimfanya awe mmoja wa watangazaji maarufu nchini Tanzania, akiheshimika kwa sauti yake ya kipekee na uwezo wa kuunganisha hadhira mbalimbali.

R.I.P
Kwa hiyo hii ndio cv yake?
 
Kuna siku sijui kawaje nikawa nasikiliza redio nikatune Wasafi nikamsikiliza huyu Dida

Mwanamke alikuwa ana kipaji cha kuongea aisee. Kwenye vipindi vya umbea hakuwa na mpinzani

Kwenye kipindi cha umbea hamna wa kuziba pengo lake pale usafini

Hivi aliacha waume wangapi? Maana naye kwa kuolewa na kuachika alikuwa hajambo

Poleni wote mlioguswa na kifo chake
 
Expert kabisa kazi nzuri endelea kuhudumia watu mkuu👏👏👏👏
Asante..... ni vile tu watu wanachukulia poa, nadhani kuna namna usipokata dawa hata kama unaishi hovyo havifumuki kivile.

Sababu kuna mzee ni mtu wa vyombo sana, hazingatii healthy living kiviile coz hana mke ila DAWA YUPO MAKINI SANA, ana private doctor na regimen tofauti nadhani

Kaanza kunywa late 2000s kabla ya 2010 ila anadunda tu, though magonjwa madogo madogo kawaida hayamuishi ila HAJAWAHI UMWA KIASI CHA KULAZWA since then
 
Sio wote. Nimefanya kazi kwenye mambo hayo kwa muda mrefu na kuna watu wanaishi miaka zaidi ya 30 wakiwa wanatumia hizo dawa. Tatizo kubwa ni kuupuuza ushauri wa daktari.
Kifo kikitaka kuja kina njia zake , haijalishi unaumwa au la.
Hii inafanya kazi kama pia uta change lifestyle kuanzia kula, kupumzika na kujiepusha au kuacha relationships zisizokuwa na kichwa wala miguu.
 
Asante..... ni vile tu watu wanachukulia poa, nadhani kuna namna usipokata dawa hata kama unaishi hovyo havifumuki kivile.

Sababu kuna mzee ni mtu wa vyombo sana, hazingatii healthy living kiviile coz hana mke ila DAWA YUPO MAKINI SANA, ana private doctor na regimen tofauti nadhani

Kaanza kunywa late 2000s kabla ya 2010 ila anadunda tu, though magonjwa madogo madogo kawaida hayamuishi ila HAJAWAHI UMWA KIASI CHA KULAZWA since then
Kuna watu nawafahamu toka kitambo wanatumia dawa. Wako fit kabisa.
 
Asante..... ni vile tu watu wanachukulia poa, nadhani kuna namna usipokata dawa hata kama unaishi hovyo havifumuki kivile.

Sababu kuna mzee ni mtu wa vyombo sana, hazingatii healthy living kiviile coz hana mke ila DAWA YUPO MAKINI SANA, ana private doctor na regimen tofauti nadhani

Kaanza kunywa late 2000s kabla ya 2010 ila anadunda tu, though magonjwa madogo madogo kawaida hayamuishi ila HAJAWAHI UMWA KIASI CHA KULAZWA since then
Sasa huyo akiongeza umakini kidogo tu atakuwa Bora sana
Kuna watoto wamezaliwa nao na Sasa wako makazini na kwenye biashara wanaishi maisha mazuri TU Cha msingi usiache dawa Wala kupitisha mda
 
Back
Top Bottom