Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

ni muathirika ama si muathirika ?
Haaa tetesi tu si unajua hata yale maneno na matusi hadija yussuf alopost instagram kumtusi wifie leyla kukawa hataree kule ndo mwanzo wa kuskia hayo. Yaan bibi watu walihamia instagram team leyla nao na team hadija babu uso kwa uso ilikua tafran
 
hahahaha ngoja nizame insta
 
hiyo si single tosha kabisa, wapiii wazee wa kinada na solo? P Funk a.k.a Majani, kamilisha hiyo single ili tuipate vizuri
 
Hawa Colombia afadhali hata ya Japan.
 
kwa hali hii mjini sihami ng'oooo
juma mchopanga sio j mo kweli wadau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…