Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli maisha ya mjini sio, kiruuuuuuu
Mi nasubiri wa Mange kabla ya kuwa muke ya muzungu na baada ya kuwa muke ya muzungu.
Hhhhaaaaa naona jukwaaa linarudi kwa kasiii,tupe ubuyu mamiiii mpaka macho yafuke moshiii
Da Jane udumu mama. Yani nimekupenda bure. Ubuyu mtamu hatari. Da Jane asante.
Yaani hadi raha
Ya Lulu hata mimi nayasubiri kwa hamu sana.
Uzi wa Wema mi sikuupata duuu nilikosa mambo jamani
Duuh! maneno yanauma kuliko ngumi.....hii ingekuwa face to face nadhani Dida angezilai
Ya Lulu hata mimi nayasubiri kwa hamu sana.
Jamiiforums kwenye mambo kama haya ukiambatanisha na picha hazifungukagi...
Wana makusudi sana... Ndiyo nina screw driver hapa nachunģulia kuzinfungua...Fungua kwa nguvu.......mbona zipo hapo tu........
Hazifunguki kweli na siyo mara ya kwanza... kwenye taarifa kama hizi, ukibandika na picha unakuta hazifunguki...Eti fungua kwa nguvu.....hahahaha
Hahahahaaaa haloooo jukwaa limekuwaje tamu jamani?Hhhhaaaaa naona jukwaaa linarudi kwa kasiii,tupe ubuyu mamiiii mpaka macho yafuke moshiii
Swadaktaaaaaa.Shkamoo DaJane....
Sio kwa kichambo hiki,ngoja nikatoe tongotongo nirudi tupige umbea vizuri.
Nina mengi ya kujazia kuhusu Dida.
Charity Ms.Lincoln Diva Beyonce piteni huku.
Ndiyo PretaLulu yupi......haka katoto......?....
Ndugu wa Aisha wako Tanga, walivyoona mtoto wao anakauka na stress, wakamtafutia mwanamme amuoe.Mtoa Ubuyu ni mtamu ila chini sijaelewa katiak Picha ya AISHA Umeandika ameshaolewa Tanga, kwa maana hiyo bwana Issa ni single kwa sasa??, na kama Aisha ameshaolewa kwanini anaondelea kumuombea Dida mabaya?? Dida nawe chuo cha 4 sasa isije ikawa wavunja ndoa za watu halafu wala simkaaji na hao waume, na ukumbuke unachofanyia wenzio na wewe utafanyiwa. utakuja porwa juu juu, yetu macho, hukuwa na haja ya kumchukua jumla jumla ruksa wa 4 ungekubali ukawa mke wa pili angalau.