Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

Kosa kafanya imepita zaidi ya miaka mitano sorry anaitoa leo baada ya video ku-leak 😆
Tena inasemekana alitoa hongo ya 50K $ kwa hiyo hotel ili video isivuje

Kama kuna sheria ifuatwe tu,hata hivyo ana kesi nyingi tu huyu mtu
 
Mmh sidhan kama hiyo sorry ni ya kweli kwamaana mpaka sasa hajurikani alipo toka siku alipoondoka kwake baada ya kupata taarifa FED wanakuja kumkamata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…