Diddy aomba radhi baada ya video akimpiga Cassie kusambaa

shemeji yangu watoto wake wana majina ya ajabu sana,wa kwanza anaitwa AnodiπŸ€” wa pili DidiπŸ‘€,bado najiuliza huyu shemeji yangu wa miaka 50 alikuwa ni brazameni sana ujanani,au shida ni niniπŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Kupitia hiyo video aliyopost kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram Diddy anasema amekubali na anawajibika 100% kwa kitendo hiko alichokifanya na kitendo kilichoonekana kwenye video hiyo kamwe hakisameheki.

"Nakiri huwa ni majuto kukumbuka yale uliyoyafanya nyuma. Najichukia, nilijichukia kipindi hiko nilipoyafanya haya, na ninajichukia na sasa. Ilibidi niende kwa wataalamu wa saikolojia kupata msaada."

"Nimemuomba Mungu anipe neema na baraka zake, NAOMBA SAMAHANI SANA. Lakini nafanya juu chini kuwa mtu bora kila siku, na kwa kusema hivi haimaanishi naomba nihurumiwe."

Your browser is not able to display this video.
 
Kosa kafanya imepita zaidi ya miaka mitano sorry anaitoa leo baada ya video ku-leak πŸ˜†
Tena inasemekana alitoa hongo ya 50K $ kwa hiyo hotel ili video isivuje

Kama kuna sheria ifuatwe tu,hata hivyo ana kesi nyingi tu huyu mtu
He has proven to be a Mafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…