Drake naye ni mwana hip hop??
Hawezi tena juzi kati tu alikuwa nafasi ya kwanza baada ya kuuza beat by dr dre kwa apple sasa hvi kashapigwa za uso!Naamini huko mbeleni dr. dre atashika namba moja
Hahahaha Forbes did not "respsek" his name!mr respek yuko namba nne! All tree people above him. ππ
Hivi na wamiliki wa hiyo forbes ni namba ngapi kiutajiri, maana huwa naona wakitaja wenzao tu wakati wao siwaoni kwenye orodha.
Ulikua hujui??? drake anafanya vyote mean hiphop+r&b,Drake naye ni mwana hip hop??