Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Jamaa hajapigika mzee.. Ni majuzi tu hapa alipost bangaloo lake lililoko nchi moja ya Africa.. Nadhani ni South Africa na kusema anaweza kuhamishia makazi yake Africa.. Endorsement za 50 ukitoa biashara zake na zingine alizoinvest pesa yake ni zaidi Dolla Million 4 kwa mwaka..jamaa kapigika kweli,
Ebu msome hapa kwanza "50 Cent has invested millions in real estate, liquor companies, and stocks of other privately controlled companies. He has used Twitter to market the companies he’s invested in. 50 is also involved in South Africa’s mining industry, working with mining billionaire Patrice Motsepe for an excavation of precious metals, like platinum. Moreover, 50 Cent has been promoting boxing events and his holdings in companies like Effen Vodka, SK Energy, and SMS Audio have added huge chunks to his net wealth." Ile chapter 11 ndiyo inafanya watu waone kafulia wakati ni jambo la kawaida kabisa hata akina Donald Trump walishayafanya hayo miaka ya nyuma..