Diddy aongoza orodha ya Forbes ya wana hip hop watano wenye mkwanja zaidi

Diddy aongoza orodha ya Forbes ya wana hip hop watano wenye mkwanja zaidi

jamaa kapigika kweli,
Jamaa hajapigika mzee.. Ni majuzi tu hapa alipost bangaloo lake lililoko nchi moja ya Africa.. Nadhani ni South Africa na kusema anaweza kuhamishia makazi yake Africa.. Endorsement za 50 ukitoa biashara zake na zingine alizoinvest pesa yake ni zaidi Dolla Million 4 kwa mwaka..

Ebu msome hapa kwanza "50 Cent has invested millions in real estate, liquor companies, and stocks of other privately controlled companies. He has used Twitter to market the companies he’s invested in. 50 is also involved in South Africa’s mining industry, working with mining billionaire Patrice Motsepe for an excavation of precious metals, like platinum. Moreover, 50 Cent has been promoting boxing events and his holdings in companies like Effen Vodka, SK Energy, and SMS Audio have added huge chunks to his net wealth." Ile chapter 11 ndiyo inafanya watu waone kafulia wakati ni jambo la kawaida kabisa hata akina Donald Trump walishayafanya hayo miaka ya nyuma..
 
iphone005rmx.jpg

Patrice Motsepe and 50 Cent
 
Kwani Dr Dre ameshatusua zile dola bilioni mbili alizolipwa kwa kuuza Beets by Dre kwa Apple?? Maana nachojua he is the only Billionaire mwana Hip Hop.
Unainformation gap mzee. Dre alipata pesa ya nyanya tuu kwenye deak ya Jobs. Diddy bado anamchakaza Dre. Dre deal ya beats ilimpa pesa kiduchu,matazamio yake kugonga number moja yalikua baafa ya mauzo ya straight outa compton. Sasa muvuu yenyewe pasu kibao,ndo maana Diddy anamchakaza. Diddy nae anamsoma jamas mishe zake mae anajiongeza. Diddy juzi kati amejaribu kuifanya ciroc kupata soko zaidi nahisi this year itamuongezea kipato.
 
Jamaa hajapigika mzee.. Ni majuzi tu hapa alipost bangaloo lake lililoko nchi moja ya Africa.. Nadhani ni South Africa na kusema anaweza kuhamishia makazi yake Africa.. Endorsement za 50 ukitoa biashara zake na zingine alizoinvest pesa yake ni zaidi Dolla Million 4 kwa mwaka..

Ebu msome hapa kwanza "50 Cent has invested millions in real estate, liquor companies, and stocks of other privately controlled companies. He has used Twitter to market the companies he’s invested in. 50 is also involved in South Africa’s mining industry, working with mining billionaire Patrice Motsepe for an excavation of precious metals, like platinum. Moreover, 50 Cent has been promoting boxing events and his holdings in companies like Effen Vodka, SK Energy, and SMS Audio have added huge chunks to his net wealth." Ile chapter 11 ndiyo inafanya watu waone kafulia wakati ni jambo la kawaida kabisa hata akina Donald Trump walishayafanya hayo miaka ya nyuma..
FRIGO nayo inampa pesa sana huyu jamaa. Japo akaze atapotea wenzie wanakasi ya ajabu.
 
#1 Sean "Diddy" Combs: $750 M
Call him Puff Daddy or Diddy—either way, he lived up to the name of his 2015 mixtape MMM (for alter ego Money Making Mitch), thanks mostly to his agreement with Diageo’s Ciroc vodka. Also valuable: stakes in his TV network Revolt, clothing line Sean John and alkaline water Aquahydrate.

#2 Andre “Dr. Dre” Young: $710M

Two years ago the superproducer’s Beats By Dr. Dre sale got him the largest one-off payday of any living musician in history; last year’s biopic Straight Outta Compton padded his coffers, too. Now he’s sitting on a nine-figure cash stash—and a jaw-dropping portfolio of southern California real estate—that even a billionaire would envy.

#3 Shawn "Jay Z" Carter: $610 M
The Brooklyn-born rapper boasts a broad range of holdings, but this year it’s his Tidal streaming service driving the growth of his fortune. The company has had its share of growing pains, but with 3 million paid subscribers, it’s now worth an estimated three times more than its $56 million purchase price.

#4 Bryan “Birdman” Williams: $110 M

The Cash Money chief moves up a spot despite the dip in his fortune, down from $140 million last year thanks to turmoil in his empire. Lil Wayne, Cash Money’s flagship artist, has slowed his once-frenetic release pace; rumors of his departure, along with fellow top acts Drake and Nicki Minaj, continue to swirl.

#5 Aubrey "Drake" Graham: $60M
Known to the world by his middle name, the Toronto native once said he planned to make $250 million by the time he was 29. He’s got a ways to go, but he’s on the right track with recurring multimillion-dollar paychecks from Nike, Sprite and Apple—and the final spot on this year’s Forbes Five. Not a bad 30th birthday present.
 
Hivi na wamiliki wa hiyo forbes ni namba ngapi kiutajiri, maana huwa naona wakitaja wenzao tu wakati wao siwaoni kwenye orodha.
Ni sawa sawa na kuuliza " hawa soundscan lini wametoa ngoma ika-hit? Maana wao kazi yao ni kutaja ngoma za watu zilizo-hit wakati wao siwaoni kwenye list."
 
Siju forbes wamepangaje lakini kuna watu kama rusell simon wana 300m master p nayy anayo kama 300m ronald slim brother ake birdman anazo kama 175m, kanye anazo kama 135m hiyo n according na celrbity net worth sijui hao forbes wamepanfaje
Hizo figure ni za mwaka gani Mkuu? Msiwe mnakariri takwimu za miaka 3 au 4 iliyopita mnaleta hapa. Russell alikuwa na hiyo hela mwaka 2011. Master P naye hiyo ni hela aliyokuwa nayo miaka kadhaa iliyopita na hajafanya ishu yoyote ya kuingiza hela ndefu. Mengi yametokea hapo katikati kwa hao wawili ikiwa ni pamoja na kuachana na wake zao (na unajua hiyo inamaanisha nini kwa US). Kanye hana hela hiyo kwa sasa, unakumbuka juzi juzi tu alikuwa anamuomba Mark Zuckerberg amkopeshe hela?
 
Back
Top Bottom