Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

R KELLY Washamuangusha

saizi n Didy kama kuna kapattern flan ivi!! kwann vyote hivi vije at once??

Najalibu kuwaza nje ya box
Really tulianza kusikia skendo zake
Tokea Anaimba na Ana hit na songi
Lake you remind me of my jeep,

Ova
 
Sema Diddy skendo zimemuanza kitambo sana... By the way hawa wasanii wakubwa US wana walakini sana katika harakati zao za kimuziki...

Diddy inaonekana kawaleftisha uanaume wao vijana wengi sana wa kiume huko US. Nlkua namkubali kwa muziki wake ila kwa haya mambo let the law fvck him harder..
 
Hahahahaha unajua didy ni shenzi sana,..huyo jamaa aliwahi kutaka kumfira kate williams ili ampe usd 50 mil,jamaa akagoma kutoa tunu yake ya pekee.
Huyo fala wamfunge tu,sjui kashaharibu nini huko illuminati,manake ukiona wanaanza kukusumbua ujue ushaharibu,kama kelly tu.
 
Weeee jay z,ni jini lile..lile liko makini sana kwanza we unamuonaje jiga,yule anajua anachofanya,tatizo kina didy ni wajinga wajinga tu.
Hahaha. Vipi snoop, ice cube na dr Dre?
 
Niacheni pls kama mmenichoka marekan hata Tanzania na Uraia Allah
Kilasiku mm tu loh
 
Pale Magomeni palikuwepo na bar moja maarufu kipindi fulani, kuna wasanii wawili wa bongo fleva waliwahi kuzibuliwa mitaro na bosi mmoja wa Wasafi, na bahati mbaya hao wasanii wameshapotea kwenye game ila mmoja ndio aliamua kuhamia Mombasa kwa shughuli zake za muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…