Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

Pale Magomeni palikuwepo na bar moja maarufu kipindi fulani, kuna wasanii wawili wa bongo fleva waliwahi kuzibuliwa mitaro na bosi mmoja wa Wasafi, na bahati mbaya hao wasanii wameshapotea kwenye game ila mmoja ndio aliamua kuhamia Mombasa kwa shughuli zake za muziki.
Wataje basi au na ww unawaogopa?
 
Pale Magomeni palikuwepo na bar moja maarufu kipindi fulani, kuna wasanii wawili wa bongo fleva waliwahi kuzibuliwa mitaro na bosi mmoja wa Wasafi, na bahati mbaya hao wasanii wameshapotea kwenye game ila mmoja ndio aliamua kuhamia Mombasa kwa shughuli zake za muziki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuhh ila huyu mwamba haya mashtaka anayofunguliwa kila siku sijui kama atachomoka aisee,,,,,,jamaa JELA inamtamani sana.
A
Though kuhusu Tuzo niliwahi kuskia kwamba jamaa ana power sana katika tuzo za BET kuhusu nani apate na nan asipate na wengi wamepata na wengine kukosa kwa yeye kupiga simu moja tu.
Alimla Mond huyu mwehu mond si anataka grammy
 
Ali Msomali aka Diddy aka Shemeji kesi yake itaanza kuunguruma 05 May 2025 kwa kipindi mpaka kuanza kwa kesi atabaki tu "nyuma ya nondo" aka segedansi aka Lupango aka inside aka ndichi.
 
Khaaa! Mbona muda mrefu hivyo?

He has to pay da price to be da boss.

Ana kesi zaidi ya 120 ,so zote hizo kuzicompile zinachukua muda ,Diddy ni muhuni akipata dhamana na ukizingatia hana mali hata moja USA atakimbia kama alivyojaribu kuwakimbia Feds mwanzoni mwa mwaka walipovamia nyumba zake,ataendelea kukaa Lupango mpaka kesi itakapoanza.
 
Kesi120? Mwamba hachomoki aisee, halafu unasema hana mali US inamaana anaishi nyumba za kupanga? Investment zake zote zipo nje ya US na hana acc US?
 
Amefanya janja janja kama Hakeem ,yeah ana kesi 120 wanazifile ili kesi za jamhuri zikianza watu binafsi nao wanampandishia nyingine.
 
Back
Top Bottom