Diddy ashtakiwa tena, adaiwa kumlazimisha Ngono na Dawa za Kulevya Mtayarishaji Muziki wake

Wataje basi au na ww unawaogopa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Alimla Mond huyu mwehu mond si anataka grammy
 
Ali Msomali aka Diddy aka Shemeji kesi yake itaanza kuunguruma 05 May 2025 kwa kipindi mpaka kuanza kwa kesi atabaki tu "nyuma ya nondo" aka segedansi aka Lupango aka inside aka ndichi.
 
Khaaa! Mbona muda mrefu hivyo?

He has to pay da price to be da boss.

Ana kesi zaidi ya 120 ,so zote hizo kuzicompile zinachukua muda ,Diddy ni muhuni akipata dhamana na ukizingatia hana mali hata moja USA atakimbia kama alivyojaribu kuwakimbia Feds mwanzoni mwa mwaka walipovamia nyumba zake,ataendelea kukaa Lupango mpaka kesi itakapoanza.
 
Kesi120? Mwamba hachomoki aisee, halafu unasema hana mali US inamaana anaishi nyumba za kupanga? Investment zake zote zipo nje ya US na hana acc US?
 
Kesi120? Mwamba hachomoki aisee, halafu unasema hana mali US inamaana anaishi nyumba za kupanga? Investment zake zote zipo nje ya US na hana acc US?
Amefanya janja janja kama Hakeem ,yeah ana kesi 120 wanazifile ili kesi za jamhuri zikianza watu binafsi nao wanampandishia nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…