Nimeanza kuishabia les blues mwaka 1998. Mtu anapouliza swali, Kwani hastahili kujibiwa?
Kwani tangu Les Bleus wameipoteza ndoo ya Europe,Kikosi hakijafanyiwa mabadiliko?
Nimeuliza hivi; Kante ni sub au ni first kwa sasa?
Nahitaji kujua.
Wampe ARSENE WENGER hiyo timu itakuwa bora sana,maana mzee hizi timu za taifa ndio zinamfaa kwani hazihitaji kununua wachezaji yeye ni kupoint tu na mzee ana jicho sana