Didn't You see This Coming?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,580
Dear Wana MMU
Heri ya Mwaka Mpya
Namshukuru MUNGU kwa kutufikisha mwaka huu hali ambayo wengi wetu walitamani lakini MUNGU alikuwa na mipango myema zaidi kwao. Ashukuriwe kwa kila jambo.

Wapendwa karibuni tena kwenye kijiwe chetu hiki chenye nia ya kuchambua, kujadili na kupashana habari mbalimbali juu ya mahusiano ya kimapenzi na kimapendo kwa nia ya kuyaboresha na kuyafanya yawe Paradiso ya duniani. Kipekee mwaka jana majadiliano mengi humu yalinijenga na kunipa utambuzi wa nafsi yangu na wengine katika nyanja nzima ya mapenzi na mahusiano. Kwa hili ninawashukuru sana wanaMMU.

Leo ninakuja na langu..............................Didnt' you see it coming? Hukuliona hili likija?
Nazungumzia wale wapenzi wenye kuwafanyia wenzi wenu visa mfano : Kupiga, kuabuse, dharau, jeuri, dharau, cheating e.t.c kiasi kwamba mwenzi anaona sasa basi, Yatosha, I'm OUT. Then unaanza kushangaa what went wrong?? Didn't you see it coming?

Please kama umemchoka mpenzi wako kuliko kumnyanyasa na visa ni bopra ukamwacha lakini ukumbuke kuwa wakati wewe unamdiss wa kazi gani, wapo wanaommezea mate na kujiuliza watampata lini.
Na ukiamua kumdiss, fanya hivyo ukiwa umeamua kabisa kuwa hapa nimemaliza sitorudia matapishi.

Huu ni ujumbe wangu tu kwenu kwa mwaka huu 2012. Otherwise nawatakia mwaka wenye amani, furaha na mapenzi tele.

Wenu Mjukuu Mtiifu all the way................................
 
Shem umeongea ishu ya maana sana, hakuna kuachana ambako hakuoneshi ishara bana ila wengi wetu tunakuwa ving'ang'anizi tu na kujitia upofu wa kuangalia tofauti na hali halisi. Maisha ni simple lakini tunayacomplicate.
Muda finyu tu lakini hii mada nilitaka niirudi kuliko kandabongoman enzi za kwasakwasa
 
I saw it coming
But i thought are the Normal insides and outs of love ways!
Just to find out too late, that the fish had gone stiff-bodied!...huh!

Wanaume/ke wengi hawaanzi vitimbwi all of a sudden, wanajipa muda fulani fulani, life goes!
Wakiona no serious steps are taken basi wanajimegea pande kubwa zaidi, na kuchungulia zaidi..
Kwangu mimi, hakuna dark-side ya luv inayokuja ghafla, kiasi kwamba utaizuwia siku moja, one has to test its bitterness for some time, ili akomae, na finally achukue maamuzi sahihi!
 

Mi nikisemaga kuachana naambiwa eti niko jitu la kuwaza kihasi hasi tu muda wote.

Wengi humu wanaamini katika uvumilivu! Hata wachitiwe mara 100 wao watakwambia samehe mara saba sabini au upuuzi puuzi kama huo...hata idadi yake siijui. Kisa tu eti ndo biblia imesema.

I say hanging on to pious hope is stupid.
 
Mbona wanaume siku zote ndiyo wanao shutumiwa ABUSE; Je wanawake hawawezi wakaabuse partners wao? Unaposema waachan au amuachie eti wako wanaommezea mate; hudhani hiyo ndiyo kiini ya matatizo katika kila relatioshi? Please dont be rediculous.
 
Shem yaani mimi huwa nashindwa kuelewa kabisa. Yaani utakuta mtu anakuwa na visaaaaaa, kiasi kwamba unapata tu jibu kuwa amekuchoka, ila ikifika siku unamwambia I want to quit unashangaa anakushangaa kuwa umemkatili na anatafuta njia za kukugeuzia kibao kile cha "Its your fault" wewe ndio umesababisha kuachana!! Najiuliza wakati anaabuse, wakati anacheat hakuliona hili la kumwacha kilibisha hodi??
 
wanajifanya tu kushangaa ila hata wenyewe deep inside wanajua kabisa wamesababisha.
Ukweli ni kwamba mmoja ana overestimate uwezo wa mwenzie wa kuabsorb na maranyingi hua hategemei kua kitu kile anacho kiona kidogo kwa macho yake kina weza kusababisha mwenzie kuchukua hatua kubwa kama kuachana, huku akisahau kama decision ilijijenga kwa vitu vingi, the last being only the tip of the iceberg.
 

Tena hii dini ya kuabudu binadamu mwenzio ina wafuasi wengi sana aisee. Nilishuhudia ishu moja mkaka wa kipopo ametupiwa nguo zke nje just kwa sababu waifu ndio mmiliki wa nyumba kwenye system, vile amedhalilishwa nikajua atatimua zake only kumuona tena baada ya siku 2 analia yeye na kuomba msamaha. Damn!
 
Hapo red hapo shem! yaani espeshel waafrika tunajali sana waliotuzunguka watatujudge vipi, na ndio maana jitu linaganda eti mpaka lipate sababu ya kuonesha kwamba ndoa kuvunjika sio kosa lake. Unafiki mtupu walahi
 
Mbona wanaume siku zote ndiyo wanao shutumiwa ABUSE; Je wanawake hawawezi wakaabuse partners wao? Unaposema waachan au amuachie eti wako wanaommezea mate; hudhani hiyo ndiyo kiini ya matatizo katika kila relatioshi? Please dont be rediculous.
Mpendwa naomba usome upya post yangu utaielewa vizuri
1. Hakuna niliposema Mwanaume, nimetumia mwezi/wenzi ambayo can mean Mwanaume au mwanamke
2. Kuhusu hiyo sentensi ya ukisema cha nini, nakuomba tena usome vizuri utaelewa maudhui ya matumizi ya usemi huo katika post yangu na
3. Kuhusu 'being ridiculous (unless it is different with your rediculous)...................Happy New Year to you Mpendwa.
 

................Kaka yangu PJ we acha tu ulimwengu huu wa mapenzi una visa sijapataona. Yaani mtu anaharibu kiasi kwamba wewe mwenzi wake unaona kabisa mh.huyu mbona kama anajaribu kunipa za uso zile za "Am wondering what did I see in You before, I dont need You anymore" live. Sasa siku ukisema ujaribu kulielewa somo umpe nafasi unashangaa mtu anakuja na za ...ooh why? kwa nini? !!! as if s/he didnt see that coming?

Pengine inajengwa na ule upofu wa kuwa Apendaye haoni?
 
MJ1, wanasemaga mla ndizi husahau ila mtupa maganda hasahau kamwe. Inashangaza sana, lakini nadhani silka ya bin adam ndo hiyoo, its like telling ur partner 'don't u burst my bubble', manake hapo kwenye kupiga na kudharau ndo starehe yake mwenzio. Unadhani ukimuacha abuser utakuwa umemsaidia manake the hatrage on the face and the heart is normally too much. Well, for some its a wake up call. Just make sure the second chances are not too many, coz one is more than enough.
 

Hahahha Umenipa wazo jipya: Inawezekana hii ya kuvumilia ingekuwa haipo, na ikawa wazi kuwa mtu akiwa abused to kwanamna yoyote, kuacha si jambo la ajabu, watu wangekuwa na adabu?? Kama ana hulka ya kuabuse atakuwa na woga? au?
 

Hey gun-totting gal,
I've got some authentic python leather six inch pumps. I'll give you a good price on them....lemme know.
 
mbona asilimia kubwa inalalamikia mapenzi?
Nani anaenjoy sasa?
Au hakuna mapenzi ya kweli!

Ila katika hili hakuna suprise
ni anayetendwa kuamua kulifumbia macho
akidhani mwenzi atabadilika.
 
Hahahha Umenipa wazo jipya: Inawezekana hii ya kuvumilia ingekuwa haipo, na ikawa wazi kuwa mtu akiwa abused to kwanamna yoyote, kuacha si jambo la ajabu, watu wangekuwa na adabu?? Kama ana hulka ya kuabuse atakuwa na woga? au?

Nadhani ingeweza kushikisha watu adabu.

Kwa sababu, wee fikiria....mwenzako anakucheat mara 100 kidogo. Na wewe kila siku eti unasamehe tu. Ukimsamehe leo unadhani nini kitamfanya asicheat tena kesho?

Haya, kesho anacheat na wewe unamsamehe tena. Unadhani ataacha kweli? Eniwei, labda wapo wanaoacha hiyo tabia...
 
Eh Mwali aksante dada umeliweka vizuri sana hili. So anakuwa anaamini kuwa mwenzie anayapokea machungu, anayameza halafu yanatoka wether ni kwa jasho (evaporation) au njia nyingine yanaisha!! Ah.................. unajua wapo wengine wakisema Basi Imetosha huwa wanakuwa wameshajaza kikombe chao cha uvumilivu?? Iwe mwanaume au mwanamke kila mtu anacho kikomo chake!
Wenye wenzi wenu please kumbukeni hili ili muwe na mwaka 2012 uwe wa mapenzi kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…