MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Dear Wana MMU
Heri ya Mwaka Mpya
Namshukuru MUNGU kwa kutufikisha mwaka huu hali ambayo wengi wetu walitamani lakini MUNGU alikuwa na mipango myema zaidi kwao. Ashukuriwe kwa kila jambo.
Wapendwa karibuni tena kwenye kijiwe chetu hiki chenye nia ya kuchambua, kujadili na kupashana habari mbalimbali juu ya mahusiano ya kimapenzi na kimapendo kwa nia ya kuyaboresha na kuyafanya yawe Paradiso ya duniani. Kipekee mwaka jana majadiliano mengi humu yalinijenga na kunipa utambuzi wa nafsi yangu na wengine katika nyanja nzima ya mapenzi na mahusiano. Kwa hili ninawashukuru sana wanaMMU.
Leo ninakuja na langu..............................Didnt' you see it coming? Hukuliona hili likija?
Nazungumzia wale wapenzi wenye kuwafanyia wenzi wenu visa mfano : Kupiga, kuabuse, dharau, jeuri, dharau, cheating e.t.c kiasi kwamba mwenzi anaona sasa basi, Yatosha, I'm OUT. Then unaanza kushangaa what went wrong?? Didn't you see it coming?
Please kama umemchoka mpenzi wako kuliko kumnyanyasa na visa ni bopra ukamwacha lakini ukumbuke kuwa wakati wewe unamdiss wa kazi gani, wapo wanaommezea mate na kujiuliza watampata lini.
Na ukiamua kumdiss, fanya hivyo ukiwa umeamua kabisa kuwa hapa nimemaliza sitorudia matapishi.
Huu ni ujumbe wangu tu kwenu kwa mwaka huu 2012. Otherwise nawatakia mwaka wenye amani, furaha na mapenzi tele.
Wenu Mjukuu Mtiifu all the way................................