Didn't You see This Coming?


Mbu bana, ndio maana nimesema mtu anaweza akampata mwanaume/mke ambae ni tofauti na vile anavyodai anataka awe na ndie akamfaa. Yote inategemeana na hizo tabia pamoja na huyo mwenzi wake alivyo.

Hehehehe uvumilivu kwangu kuna ya kuvumilia. . . magonjwa, ajali, makosa ya hapa na pale, viugomvi vidogo vidogo,ukata wa pesa ila cheating is a big no. Wakati wengine ukata wa pesa ndio big NO ila cheating inavumilika. Kila mtu afanye kwa kiasi chake, mimi sitokubali kusubiria nilipuke kisa nataka nisifike kwa uvumilivu.
 

Hiyo "atabadilika" ndio tatizo la wengi Mbu. Unakuta mtu kabla hata hajaombwa uchumba alishaanza kupigwa/tukanwa/nyanyaswa kihisia/ cheated alafu anaingia kwenye ndoa akidhani huko ndo mwenzake atakapobadilika. Matokeo yake ndoana yao inakuja sababisha matatizo ambayo yangeepukika kirahisi tu kama mhusika angesoma alama za nyakati.
 
Reactions: Mbu

Heri ya mwaka mpya MJ1 & All the Best in 2012.

Unajua hadi mtu akufanyie vituko kuna udhaifu fulani anakuwa anauona kwako...either umempenda mpaka reasoning yako haifanyi kazi, unamtegemea sana,aliombwa kuwa na wewe au ulimlazimisha kuwa nae. Kitu cha muhimu kwa maoni yangu,ni kumuonyesha kwa matendo na maneno ya kinywa chako mshirika wako, kuwa kuna maisha bila yeye....usimwabudu binadamu ambaye hakukuleta duniani,hutaondoka nae na wala hatakutetea mbele za haki....zaidi ya hapo ni kuwa independent na kuwa na mtu for the right reasons,ili hata akibadilika ujue la kufanya mapema.....!!
 
MJ1 ndoa nyingi zipo kwa sababu ya watoto,take out the kids the ndoa will bust like a bubble.Ukiona watu wanavumiliana weeeeeeeee asilimia kubwa ni for the sake of kids.......period!
 

dawa ni kuuchuma tu, na kuendelea na maisha yako, akigundua amechuniwa lazima arudi, atakaporudi ndo unamwelezea mambo yako yote na uamuzi uliofikia,
 
kweli kabisa dear, umeongea point, we waona vya nn, wenzako wanasema watavipata lini, wapi soulmate?
 
...lol, haya ya kuingia kwenye mahusiano na tochi, rungu, dawa za malaria...?
hapana, nahisi hapa utakuwa humtendei haki mpenzi mpya...(hehehehe...leo nakulisha maneno yako mwenyewe!)


mpenzi mpya tena,kwani ni lazima haya yatokee kwa mupya tu hata wa zamani mbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…