Didn't You see This Coming?

Didn't You see This Coming?

...mnaweza mkawa mnaendana kitabia, ila masuala mengine mkawa tofauti...!
love is blind au ni kuchagua kutokuangalia?..

Ukishachagua kutokuangalia ina maana umeamua kuvumilia na kujikubalisha na hizo tofauti!
...na hapo ndipo kigezo cha "uvumilivu" kinaanza kutumika..tik-tok...

"Time Bomb!"

Mbu bana, ndio maana nimesema mtu anaweza akampata mwanaume/mke ambae ni tofauti na vile anavyodai anataka awe na ndie akamfaa. Yote inategemeana na hizo tabia pamoja na huyo mwenzi wake alivyo.

Hehehehe uvumilivu kwangu kuna ya kuvumilia. . . magonjwa, ajali, makosa ya hapa na pale, viugomvi vidogo vidogo,ukata wa pesa ila cheating is a big no. Wakati wengine ukata wa pesa ndio big NO ila cheating inavumilika. Kila mtu afanye kwa kiasi chake, mimi sitokubali kusubiria nilipuke kisa nataka nisifike kwa uvumilivu.
 
...swadakta......! sasa tumsome mwj1 hapa...



...how can one allow herself/himself to be abused like that?
"screwdriver ya mwj1...,"...unaikumbuka?

...unapomkabidhi mwenza "screwdriver" ya maisha yako unatarajia nini?
kuna wanaosema, "samaki mkunje angali mbichi"

...kuna tabia mtu anazi ignore kwa matarajio atabadilika...
labda naweza kuelewa kwanini abuser anakushangaa siku unapomwambia basi...
sababu ulimruhusu mwenyewe akufanye msukule from day one,...

Hiyo "atabadilika" ndio tatizo la wengi Mbu. Unakuta mtu kabla hata hajaombwa uchumba alishaanza kupigwa/tukanwa/nyanyaswa kihisia/ cheated alafu anaingia kwenye ndoa akidhani huko ndo mwenzake atakapobadilika. Matokeo yake ndoana yao inakuja sababisha matatizo ambayo yangeepukika kirahisi tu kama mhusika angesoma alama za nyakati.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Dear Wana MMU

Please kama umemchoka mpenzi wako kuliko kumnyanyasa na visa ni bora ukamwacha lakini ukumbuke kuwa wakati wewe unamdiss wa kazi gani, wapo wanaommezea mate na kujiuliza watampata lini.
Na ukiamua kumdiss, fanya hivyo ukiwa umeamua kabisa kuwa hapa nimemaliza sitorudia matapishi.

Huu ni ujumbe wangu tu kwenu kwa mwaka huu 2012. Otherwise nawatakia mwaka wenye amani, furaha na mapenzi tele.

Wenu Mjukuu Mtiifu all the way................................

Heri ya mwaka mpya MJ1 & All the Best in 2012.

Unajua hadi mtu akufanyie vituko kuna udhaifu fulani anakuwa anauona kwako...either umempenda mpaka reasoning yako haifanyi kazi, unamtegemea sana,aliombwa kuwa na wewe au ulimlazimisha kuwa nae. Kitu cha muhimu kwa maoni yangu,ni kumuonyesha kwa matendo na maneno ya kinywa chako mshirika wako, kuwa kuna maisha bila yeye....usimwabudu binadamu ambaye hakukuleta duniani,hutaondoka nae na wala hatakutetea mbele za haki....zaidi ya hapo ni kuwa independent na kuwa na mtu for the right reasons,ili hata akibadilika ujue la kufanya mapema.....!!
 
MJ1 ndoa nyingi zipo kwa sababu ya watoto,take out the kids the ndoa will bust like a bubble.Ukiona watu wanavumiliana weeeeeeeee asilimia kubwa ni for the sake of kids.......period!
 
Shem yaani mimi huwa nashindwa kuelewa kabisa. Yaani utakuta mtu anakuwa na visaaaaaa, kiasi kwamba unapata tu jibu kuwa amekuchoka, ila ikifika siku unamwambia I want to quit unashangaa anakushangaa kuwa umemkatili na anatafuta njia za kukugeuzia kibao kile cha "Its your fault" wewe ndio umesababisha kuachana!! Najiuliza wakati anaabuse, wakati anacheat hakuliona hili la kumwacha kilibisha hodi??

dawa ni kuuchuma tu, na kuendelea na maisha yako, akigundua amechuniwa lazima arudi, atakaporudi ndo unamwelezea mambo yako yote na uamuzi uliofikia,
 
kweli kabisa dear, umeongea point, we waona vya nn, wenzako wanasema watavipata lini, wapi soulmate?
 
...lol, haya ya kuingia kwenye mahusiano na tochi, rungu, dawa za malaria...?
hapana, nahisi hapa utakuwa humtendei haki mpenzi mpya...(hehehehe...leo nakulisha maneno yako mwenyewe!)


mpenzi mpya tena,kwani ni lazima haya yatokee kwa mupya tu hata wa zamani mbu
 
Back
Top Bottom