Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Munga Tehenan alipofariki nililia machozi. Vitabu vyake, makala kwenye gazeti lake la Jitambue zilinifumbua sana mawazo NIKAJITAMBUA. Gazeti lake lilipopotea mitaani tuliulizana wapi Jitambue. Siku moja nikamwambia rafiki yangu (ambaye naye nilikuwa nimemshauri nyuma asome gazeti hilo na akawa never miss Jitambue) kuwa Munga amefariki. Tulilia kwa pamoja.
Mshana Jr, Mulenge na wengine, tumuenzi Munga. Naunga mkono mawazo ya Mulenge. Mshana Jr tafadhali anzisha uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuNaandaa mada yake
Jr[emoji769]
Jana tu nilikuwa nawaza hili asante sana kwa kunikumbusha...Mambo yaliingiliana hapo katiVipi mkuu mada ya Munga Tehenan bado kutoka?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2839][emoji2839][emoji2839]Kumbe Mtani u also knows lugha zaid ya mbili.. Shda waswazi tunadandiamo mpk humu n reduce what we call taste.. [emoji23] wacha nikalearn af nikija kipande hii hatakuw wakukomentia bla kujua vzr grama...
Stone will die rich [emoji23]