Hakika Munga Tehenan alipofariki nililia machozi. Vitabu vyake, makala kwenye gazeti lake la Jitambue zilinifumbua sana mawazo NIKAJITAMBUA. Gazeti lake lilipopotea mitaani tuliulizana wapi Jitambue. Siku moja nikamwambia rafiki yangu (ambaye naye nilikuwa nimemshauri nyuma asome gazeti hilo na akawa never miss Jitambue) kuwa Munga amefariki. Tulilia kwa pamoja.
Mshana Jr, Mulenge na wengine, tumuenzi Munga. Naunga mkono mawazo ya Mulenge. Mshana Jr tafadhali anzisha uzi.
Sent using
Jamii Forums mobile app