Yethero Mgale
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 525
- 228
Mwanasoka bora wa zamani wa dunia na timu ya taifa ya Argentina, Diego Maradona amesema yeye amekuwa akimuunga mkono sana aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais wa FIFA, Prince Ali hivyo anaamini kuwa kama price Ali atavaa mikoba ya Sepp Blatter aliyejiuzu atamteua yeye awe makamu wake.
Source: RFA
Source: RFA