zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Hahahaaa! Mkachukue kombe sasa sio kuwa washiriki wa kudumu bila ucl tittleWakuu SteveMollel pancho boy Don Clericuzio nguvu
Nafikiri mjadala umehitimishwa rasmi, total humiliation at Anfield. Eti never walk alone MY FOOT 🤣 🤣🤣
au sioWelcome to Anfield. It's up to you to be there. We'll be there.
Ask Barcelona.
Wakuu SteveMollel pancho boy Don Clericuzio nguvu
Nafikiri mjadala umehitimishwa rasmi, total humiliation at Anfield. Eti never walk alone MY FOOT 🤣 🤣🤣
Huyo atletico kinachomshinda kumfunga barca huko spain ni nini?
[emoji23]Tar 11 March huu upuuzi uliouandika leo,Utakutia Aibu ,Utakufedhehesha na mbaya zaidi utakutukanisha.
Sawa bwana Nguvu hili ni soka kumbuka hiloKwani kwa barca ilikuwaje? Kuzuia kufungwa na kupata goli nne, kumbuka huyo atletico kwa barca ni mchumba tu
You have my respect bro, wewe ni shabiki wa mpira sio wa teamRespect Bro.
That was humiliation.
You have my respect bro, wewe ni shabiki wa mpira sio wa team
Uko tofauti sana na wengine.
Liver akishinda utaona viingereza vingi vya kusifu uwezo wa wachezaji, yaani utaona uchambuzi na data za kubumba kuonyesha kila mchezaji wa liver ni world class player, wakifungwa sasa ndio utasikia wanasema hawakuwa na bahati. Kiuhalisia liver ni timu ya kawaida sana, imekuwa overrated. Hii timu ilishafikia climax na timu nyingine za Uingereza zikisajili vizuri, Liver itakuwa ni timu ya kawaida tu.
Kabisa mkuu.Mkuu kile kichapo cha jana ni cha kiheshima sana, sijakishuhudia kwa muda mrefu sana Anfield. Jamaa walikuwa so composed.
Ingekuwa timu zenye papara ile game ingeisha mapema.
Mkuu nakusalimia tu.Atletico Madrid tayari ameshaaga mashindano hana ujanja pale Anfield ingawa soka la leo halina historia lkn kumbukeni kilichompata ndugu yao Barcelona wakiwa full squard, Diego Simeone ajiandae kisaikolojia tu pale atapigwa nyingi tena sio chini ya goli nne na kuendelea.
Sijui una hali gani huku ulipo mkuu! unatamani ufute hii comment yako ila ndio basi tena haiwezekani! huu ndio uzuri wa Internet.Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kubahatisha huku umelala usingizi,unataka kusema ATM kamchinja Jogoo mtetea kwa Bahati? bahati ni imani tu ila ushindi unakuja kwa malengo na kujituma.