Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Huyo atletico kinachomshinda kumfunga barca huko spain ni nini?

PARTEY AFTER PARTEY

IMG_0336.JPG
 
Liverpool were walking alone at anfield[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bahati nyumbani na ugenini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Liver akishinda utaona viingereza vingi vya kusifu uwezo wa wachezaji, yaani utaona uchambuzi na data za kubumba kuonyesha kila mchezaji wa liver ni world class player, wakifungwa sasa ndio utasikia wanasema hawakuwa na bahati. Kiuhalisia liver ni timu ya kawaida sana, imekuwa overrated. Hii timu ilishafikia climax na timu nyingine za Uingereza zikisajili vizuri, Liver itakuwa ni timu ya kawaida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barca na Messi walifunga 3 pale camp now ila walivyokuja anfield kila mtu anajua nini kiliwakuta.
Tupo half time wameshinda kwao goli mpoja bila nasubili thread yako nyingine baada ya wiki 2 ikiisuppport hii hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui una hali gani huku ulipo mkuu! unatamani ufute hii comment yako ila ndio basi tena haiwezekani! huu ndio uzuri wa Internet.
 
Back
Top Bottom