Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Nilishasema humu sujui kwenye Uzi upi sikumbuki!! Liverpool anakutana na Wapumbavu wengi EPL ndio maana kawa Bora lakin kiuhalisia hayuko Bora Sana.. Liverpool kwanza wanakikosi finyu Sana Yaan Kukaa na kutabiri ataanza Nani na Nani ni rahisi sana..Ndio maana unaona wakikosekana Watu wachache tu ndani ya first eleven Wana hangaika Sana... Zaidi Wamechoka acha wakomae na EPL tu

Typed Using KIDOLE
 


Diego anajua anachokifanya, ni best kocha hata the salary paid ni mkubwa kuliko kocha yeyote duniani
 
Uzi uliosababisha nikafungiwa jf kwa mwezi mmoja baada ya liva kupigwa kwenye marudiano!kisa neno jiwe inaonekana MODS NI LIVER WENGI KAMA MIMI ILA HAWANA UVUMILIVU WA KISOKA!!!!!!!
 
Someone's styles = Jose mourihno 2.0.


Negative Manager,

Coward Mentality,

Ugly Football,.

Utata Defensive tactics Ukishinda utaonekana hero,
Ukifungwa utaonekana Coward!!!
 
Someone's styles = Jose mourihno 2.0.


Negative Manager,

Coward Mentality,

Ugly Football,.

Utata Defensive tactics Ukishinda utaonekana hero,
Ukifungwa utaonekana Coward!!!
Nadhani hufuatilii mpira vizuri msimu huu ndio Alteti ipo attacking kuliko misimu yote.

Trippier na Lodi wanatengeneza formation ya 2-4-4 while attacking alafu midfielders ndio wana cover the flanks.

Zamani ilikua beki wa Simeone hapandi kabisa ila kwa sasa wao ndio wingbacks so kabadilika mno.

Zamani alitumia pure midfielder 4 hapo kati sahvi anatumia 2 attacking midfielders Yaani carassco na Llorente.

Mkuu jamaa kabadilika sana ila tumekosa mmaliziaje mzuri ndio maana La Liga wana draw 16 na wameshinda 18!! Ko unaweza ona kma wangekua na mmaliziaji mzuri hizo draw zingegeuka 3 points wabebe ndooo
 
At the end of the day, mmeendelea kuwa wasindikizaji tu UEFA kama kawaida yenu.
Haibadili ukweli kuwa Klopp is shit kwa Simeone!! Kapigwa nje ndani and that won't ever change. Embarassment ya anfield haiwezi kufutwa kwa goli la deflection.
 
Haibadili ukweli kuwa Klopp is shit kwa Simeone!! Kapigwa nje ndani and that won't ever change. Embarassment ya anfield haiwezi kufutwa kwa goli la deflection.

Embarrassment ya Anfield haifutiki kwa Atletico Madrid kutolewa yes. That is FACT.

Atletico kuendelea kuliona kombe la UEFA kwa jirani au kwenye TV ni FACT pia.

Na hawatalichukua wakiwa na Simeone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…