Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Hivi wewe jamaa unachobisha ni nini? DS hafiki hata robo kwa JK, eti unasingizia hamna fungu sasa kama hamna fungu lawama ziende kwa nani? Klabu zenye mafanikio ulaya huwezi kuiweka atletico lakini liver imo, sisi level zetu ni munchen, real Madrid, barca, man u, hata timu kama chelsea haifikii level za liver
 
Huyo Klopp kamzidi kipi niambie? Mataji? Uzoefu? Kma ulikuwa hufahamu El cholo ana makombe mengi kuliko Klopp alafu ndio kocha anaongoza kwa kulipwa Duniani.
Mkuu leta data sio maneno maneno, Klopp cha mtoto sana kwa El Cholo.
 
Hahaaa! Makombe ya kuku? Kinamshinda nini kuchukua ucl? Halafu kama hao ATM wanauwezo wa kumlipa pesa nyingi wanakosaje pesa ya kununulia wachezaji hadi washabiki mnabaki kulialia tu, liver ndio mabingwa wa dunia under JK niambie hao ATM ni mabingwa wa nini?
 
Tatizo wewe ni plastic fan unaongozwa na mihemko ila huna data kabisa. Uzuri Simeone aliwatia adabu kelele zote kwisha mpaka leo.
Wewe empty fan umeparamia tu soka ulianzia kule intelligence wakakuchana ukahamia huku.
Huwezi kutuzingua namna hiyo hakuna mzembe hapa
Eti hector Herrera kaja bure ..! Yaani unadhani sisi tupo vijijini hatufatilii..

Takataka
 
Shida watoto wa JF facts hamna kabisa sijui lugha inawashinda.
 
Jamaa unafurahisha unaiita Europa kombe la kuku wakati mmeshiriki mara 8 tokea 2010??
UCL watabeba tu ni suala la muda maana wamefika fainali mbili. Ila overall wana makombe mengi ya Ulaya kuliko Liverpool kwenye era ya El cholo.

Unaposema nyie ni mabingwa wa dunia kisa kale kabonanza? Kma ni hivyo Ok then ni vizuri ufahamu UEFA supercup ambayo ndio inateua bingwa overall wa ulaya fahamu kuwa Simeone anayo Matatu!! Nionyeshe Klopp ana mangapi?

Kingine alichomzidi ni Kumpiga Klopp bao 3 Anfield kwa timu iliokuwa unbeaten kwenye ligi yake!! Tokea hapo kelele zote kwishaaaa. Akisikia jina la Simeone tu anaingia uvunguni haaahaaaa
 
Yaani kwavile liver kashiriki mara 8 sio kombe la kuku? Chukua bingwa wa klabu bingwa ulaya ndio tuanze kuongea lugha moja, wewe mwenzio ni arsenal sio liver, huyo DS ni mtoto kwa JK hadi aweke UCL kabatini, huyo DS ana miaka mingapi ATM na JK ana mingapi LIVER?
 
Nimeishia hapo uliposema eti uefa super cup ndo inaamua nan bingwa wa ulaya
 
Niko hapa kabla yako bwana mdogo
Umeanza namaliza.
Tuendlee?View attachment 1539959
Unajua shida mnaleta ushabiki tu.
Felix ana mkataba wa miaka 7 , na hiyo dau litalipwa kwa mafungu mafungu hadi miaka 7 iishe kwahiyo haikutolewa papo hapo. Kiufupi alipokuja ililipwa €18 M pekee.

Lakini kwa picha nzima unatakiwa ufahamu Atletico ilimuuza Griezmann Barca kwa Cash ya €120 M hivyo hta wangetoa nao cash inamaanisha ni replacement tu sio investment mpya.

Kingine Dirisha lililopita tuliuza wachezaji wa €320M alafu tukasajili wa €250 ikimaanisha tuliingiza faida ya €70M kwenye usajili huo. Sasa kwa hesabu hizo tume overspend kwa wachezaji kma liverpool?? Hapo kumbuka bodi waliweka pesa ya usajili €70 ambayo haikutumika kabisa mpka leo.

Liverpool mlitumia mahela kununua makombe ila sio uwezo binafsi wa Klopp ndio maana El Cholo kawatia adabu na bao 4 hahahaha
 
Sio kombe la kuku sababu ndio it's where you belong. Huna hadhi ya kuita dagaa ni mboga ya maskini wakati na ww ni maskini bado!!

Europa is where u belong, bahati ya kucheza UCL hyo misimu mitatu msijikute ndio timu kubwa. Hvi kuna bingwa mtetezi alitolewa kwa bao 4?? Tena last 16 ? hahahah mnachekesha nyie Majogoo wa kwenye karatasi.
 
Hawa ndo tuliowanunua tuone hayo mabilion yakwapi
Niendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…