Hivi wewe jamaa unachobisha ni nini? DS hafiki hata robo kwa JK, eti unasingizia hamna fungu sasa kama hamna fungu lawama ziende kwa nani? Klabu zenye mafanikio ulaya huwezi kuiweka atletico lakini liver imo, sisi level zetu ni munchen, real Madrid, barca, man u, hata timu kama chelsea haifikii level za liverMkuu mmetumia €250 kusajili wachezaji 5, je coutinho alileta mezani hiko kiasi? Ni kwamba mliwekeza pesa nyingi sana kwahiyo obviously mngeshinda tu makombe.
Sasa Simeone kaikuta timu iko bottom 10, ina madeni, haina world class players. Ila ameifanya Atleti kuwa #2 kwa UEFA rankings msimu wa 6 sasa Je utalinganishaje na huyo Klopp wenu? Kipi alichomzidi Simeone?
Kuhusu UCL nshakwambia mlishiriki Europa mara 8 last decade sasa kwanini mnataka basis ya mafanikio iwe UCL mlioshiriki mara 3 pekee? Unajua mnajiweka level ambayo hampo kabisa.
Funny