zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Timu gani inasuasua?? Mie ni Team Atletico mwaka wa 13 sasa sio kila mtu ni EPL fanboy. Liwe liwalo halibadili ukweli kuwa ssi ndio team pekee iliyowabana hadi mkatoka bila shot on target!! Na kuwafunga ilihali mko unbeaten kwa muda mrefu.Subiri liver amtoe huyo atletico uone utakavyobadili gia angani, baada ya timu lako kusuasua umeamua kujificha kwenye kichaka cha atletico sasa mimi siumi maneno huyo atletico wako tunapiga uamie timu nyingine itakayopangwa na liver, eti wahuni hawana hata ucl moja ya kuiba
Kwa hilo tu you need to show some respect kid