Diego Simeone ni kiboko ya Jurgen Klopp

Timu gani inasuasua?? Mie ni Team Atletico mwaka wa 13 sasa sio kila mtu ni EPL fanboy. Liwe liwalo halibadili ukweli kuwa ssi ndio team pekee iliyowabana hadi mkatoka bila shot on target!! Na kuwafunga ilihali mko unbeaten kwa muda mrefu.

Kwa hilo tu you need to show some respect kid
 
Unbeaten muda mrefu? Hivi unafatilia mpira kweli wewe? Kwa taarifa yako hatua ya makundi tulifungwa
 
Umevurugwa wewe sio bure hivi unazani phillipe coutinho aliondoka bure? Angalia kwenye miaka ya JK gharama tulizotumia kununua na kuuza halafu linganisha na mafanikio, halafu rudi kwa huyo DS uangalie miaka minne nyuma kapata mafanikio gani zaidi ya runner up
 
Eti anasema atletico wametumia sh 4500 tu kusajili wakati liver wametumia bilioni sita,
Anazingua huyo atletico msimu wametmia pesa kibwena ile waliyomuuza griezman imetumika yotee... Sasa 4500 imetoka wapi?
 
Naona mkuu klopp fan boys umewashika pabaya sana ulipoleta takwimu comments zitazokuja naamin zitakuwa offensive tu wala hazitokuja na facts tena teh teh teh

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitakwimu hivyo vimtishe nani? Kombe hilo lilishaitwa uefa ndogo that means kuna uefa kubwa, sasa niache kujisifia uefa kubwa nisifie ndogo? Lini huyo atletico alichukua kombe la klabu bingwa ulaya? Ukinitajia na mimi ntakutajia lini liver alichukua
 
Unbeaten muda mrefu? Hivi unafatilia mpira kweli wewe? Kwa taarifa yako hatua ya makundi tulifungwa
Kwahiyo team yako kuwa unbeaten PL na clean sheet kma zote ni kawaida tu ikifungwa tena bila shot on goal??
 
View attachment 1367634
Official page ya UEFA na msimu huu ni ya 3 bado licha mapovu yenu.

UEFA wanaenda na takwimu baada ya Real anayefuata kwa makombe na fainali nyingi ni Atletico hao liverpool hata top 10 hawakuwemo then kelele kibao humu.
Makombe mengi? Atletico?.. Unaweza kuta hizo rank ulizotuletea ni za mwaka Juzi tutaamini vipi?
 
Vitakwimu hivyo vimtishe nani? Kombe hilo lilishaitwa uefa ndogo that means kuna uefa kubwa, sasa niache kujisifia uefa kubwa nisifie ndogo? Lini huyo atletico alichukua kombe la klabu bingwa ulaya? Ukinitajia na mimi ntakutajia lini liver alichukua
UCL wote tumeingia final 2 tukafungwa kwa extra time na penalty nyie mkapigwa open play na nyingine mkashinda kwa goli la penalty tena dhidi ya timu dhaifu.

Ssa hii arrogance unatoa wapi?? Anyway tusubiri game ya anfield kelele zitaisha hizi
 
Unaletewa facts unakimbia!!

Don't argue kma huna takwimu,
Hakuna fact ulizolileta ila umejaa ushabiki na hisia tena za uongo uongo.. Mara ukubali atletico kupigwa final mbili Mara ukatae usingizie walifungwa extra time.. Kana kwamba atletico huwa hawawezi kucheza extra time..! Hueleweki..!

Mbona liver kaingia final mbili mfululizo. Ya pili tukashinda? halafu nyie mmegongwa zote mbili..! Kwanini? huna sababu..!
 
Makombe mengi? Atletico?.. Unaweza kuta hizo rank ulizotuletea ni za mwaka Juzi tutaamini vipi?
EPL fan boy hiyo screenshot hujaona 2019/20??
Ndio wana makombe mengi yapo 6 ya UEFA last decade nyie vikombe 2 tu kelele kibao.
 
Fact ni kwamba simeone ana trophy nyingi last decade kuliko klopp ssa sijaelewa unachobisha nni??
Mada hpa ni kuwa simeone is better than Klopp hutaki unaacha
 
Wewe jamaa una shida gani?
Eti final mbili.. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hakunaga takwimu za hivyo so hao FIFA wamewapa hiyo rank kutokana na kucheza final mbili...?

Sijawahi kuona mtu anajivunia kitu ambacho hajakipata ila ni wewe tu..

Msimu wa 2014/2015 hapo barca si kachukua kombe hapo treble? Na Luis Enrique? Au hiyo ni last decade..!

Liverpool ana UEFA sita.. kuanzia hapo tu hiyo team sio viwango vya atletico.. Ni next level.. kwa maana hiyo hata Bayern huwezi kushindana nae ana UEFA.. mkashindane na sevila mwenye Europa tatu.

Pia hizo final unazojidai nazo mbona liver nao wameingia final mbili misimu miwili mfululizo?

Leo nakubana umeyataka mwenyewe
 
EPL fan boy hiyo screenshot hujaona 2019/20??
Ndio wana makombe mengi yapo 6 ya UEFA last decade nyie vikombe 2 tu kelele kibao.
Hakuna cha makombe ya UEFA hivyo ni vya Europa league huko wanakocheza kina man u ndo unajitapa? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Makombe ya UEFA anayo mangapi hayo ya UEFA? hahahaha
 
Fact ni kwamba simeone ana trophy nyingi last decade kuliko klopp ssa sijaelewa unachobisha nni??
Mada hpa ni kuwa simeone is better than Klopp hutaki unaacha
Aah umebadili tena hahah
Kutoka kufananisha team nimekubana sasa umekimbilia kwa makocha career zao binafsi dah hahaha.

Sasa klop si ana misimu michache tofauti na simeone? Au unakuta akili? Haha.
Kama unajivunia final basi klop alishaingia toka wakati yupo bvb kule Germany. tena kwa kikosi kile kidogo cha visenti..

Kama vikombe vyenyewe ndo hivyo unavyosema vya Europa. Basi huyo simeone akashindane na kina unai emery ndo saiz yake maana emery ana Europa tatu.. Tena na sevila..

Huna fact braza acha kupanic twende slow
 
UCL wote tumeingia final 2 tukafungwa kwa extra time na penalty nyie mkapigwa open play na nyingine mkashinda kwa goli la penalty tena dhidi ya timu dhaifu.

Ssa hii arrogance unatoa wapi?? Anyway tusubiri game ya anfield kelele zitaisha hizi
Hivi wewe jamaa unajua unachokiandika? Haya futa goli la Salah tuone kombe atapewa nani au unazani tulishinda moja bila? Kwa taarifa yako bila madrid kucheza mieleka tungechukua kombe, halafu nyie na mifainali yote mliyocheza mbona hamjawahi kuwa mabingwa wa ulaya?
 
Fact ni kwamba simeone ana trophy nyingi last decade kuliko klopp ssa sijaelewa unachobisha nni??
Mada hpa ni kuwa simeone is better than Klopp hutaki unaacha
Umekula maharage ya wapi wewe? DS is better than JK? Hivi ni kocha gani kwa sasa anazungumziwa duniani?
 
Kwahiyo team yako kuwa unbeaten PL na clean sheet kma zote ni kawaida tu ikifungwa tena bila shot on goal??
Huko UCL kila siku tunafungwa na fainali tunatimba, msimu wa juzi tulifungwa kwenye makundi, nusu fainali na fainali pia msimu jana tulifungwa nusu fainali na fainali tukaingia sasa unashangaa nini kufungwa msimu huu?
 
Shida huna takwimu mie nmekwambia Atletico ana makombe ya UEFA competitions 6 last decade, katika kipindi hicho hao Liver wana mawili 2 so simeone amemzidi Klopp kwa mbali na ndio maana imekua #2 best team of the decade kwa uefa rankings.

Ambacho huelewi kipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…