M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
Kwa mara ya Kwanza. Wenye kutumia magari ya diesel tumekumbukwa. Asanteni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DJ niletee wakwe
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake
Noma
Mkuu hebu nyamaza sio kwa maumivu haya.
Chungu moto maji motoMboga moto, ugali moto!
Acha mkuu hizi bei zinachoma kama supu ya motoBasi nikajua bei ya diesel imeshushwa umefurahia kumbe mmekumbukwa kwa kupandishiwa zaidi mkuu wewe[emoji23][emoji23]
Mkuu wengine tukipaki ndio kazi haziendi.Nahisi hii ndiyo mada ambayo nimecheka sanaaaaa mwenyewe kuliko zote..
mwaka huu hakuna pa kukimbilia hata nyie WA diesel kazi mnayo mwaka huu.
nashukuru nimeshaanza kupaki gari Toka mwezi huu umeanza kwahiyo nimeshazoea kupanda private car (Noah) mida ya asubuhi Kwa buku 2 mpaka kariakoo alafu jion napanda bajaj Kwa buku 2 Hadi chamazi na maisha yanaendelea
Poleni sana aiseeAcha mkuu hizi bei zinachoma kama supu ya moto
Waendelee hivyo hivyo. Wabanwe vilivyoNiliwahi kuuliza kitambo kuwa Mbona bei ya Diesel iko chini kuliko petrol nikakosa majibu
Maana nchi nyingi nimeona diesel ni juu kuliko petrol kwa sababu mashine na magari ya abiria na mizigo ambayo yanaingiza hela na ajira ndio wanalipa zaidi ila kwetu ilikuwa tofauti
Sasa naona wameelewa wabane huko ila labda wana sababu zao