difference between GSM and CDMA networks

Badedi

Senior Member
Joined
Dec 12, 2010
Posts
141
Reaction score
21
Ningependa kufahamu tofauti kati ya GSM na CDMA networks,faida zake na ipi bora
 
Hope ume google pia na umekutana na articlekama hiii
What is the Difference Between GSM and CDMA?

ukiisoma utaona

  • History ya hizi teknolojia mbili shindani( US Vs Europe)
  • Wapi zinatumika zaidi
  • Uwezo na Teknolojia tofauti zinazotumika kuwezesha kukuza uwezo na kuboresha usafirishani wa data( Video, Voice, text). eg EVDO kwenye CDMA na EDGE na HSPDA kwenye GSM
  • Kuna Teknolojia ya CDMA zinatumia R-UIM card wakati GSM kuna SIM card . Hii inaweza kuwa maelezo kwa nini baadhi ya Modem za CDMA zinakuwa hazina Simcard. Ni kama simcard iko hardcoded. kwenye kifaa . Kwa hiyo ku unlock kifaa cha CDMA inaweza kuwa ngumu zaidi ya ku unlockkifaa cha GSM
 
Yeah
 
Back
Top Bottom