"District court na Resident court.. ni mahakama zenye mamalaka sawa,na hakimu wanaohusika katika mahakama hizi wana elimu sawa yaani wote wana degee ya sheria...tofauti inakuja kwenye kusikiliza kesi za jinai.kwanini District court zimepewa mamlaka hayo na Resident court hazijapewa hayo mamlaka? ni nini tofauti ya mahakama hizo mbili?