Different tweets from brothers and sisters of Kenya and Uganda

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Here are some of the tweets from our brothers and sisters from Kenya and Uganda.

You have decided to live a myopic life because of corona. If you don't change your mind, you are going to perish.

 
Afrika wanaitamani sana Tanzania.

hawamini kinachotokea na kinachoendelea Tanzania.

Kipindi hiki ndicho unaweza kuthibitisha ni kwanini Tanzania ILIZIKOMBOA NCHI ZA KIAFRIKA.

Ugonjwa wa korona ni sehemu ya ajenda za ukoroni. Usipo kuwa na akili Unatumiwa na kutumikishwa.

Ndugu zetu wa afrika kenya,uganda, Rwanda, igeni mfano waTanzania ilivyo uchukulia ugonjwa wa korona.

Maamuzi ya Rais yalikuwa sio ya kukurupuka walichambua mambo wakaona kuna ajenda za siri nyuma ya huu ugonjwa. Rais akatoa Maamuzi.

Ukiijua Tanzania vyema utaijua Afrika nzima.

Ukitaka kuimaliza Afrika basi anza kuimaliza Tanzania.
 
Tanzania COVID 19 Hakuna. Tusitishane, Tuchape Kazi.
 
Kweli nimeamin wa kenya kuna mazezeta mengi sanaa yaan kuna. Li jitu apo lime commwnt vima lina ifananisha dar ni kijiji chake ? NgeseM kweli

Yaan kumbe ni kweli majamaa yali aminishwa eti watu watakufa sana Tz, how come ? Hakika Mungu ana waazibu hawa manyang'au yaan hana hata chembe ya utu ! Wanajiona bora sasanwanakufabkama inzi
 
ukikataa kuona jambo kwa macho yako utashikishwa upapase hata kwa vidore vya miguu.

wacha tuwashikishe wajue.
 
Huyo anaesema akifikiri tz ni kama kijijini kwao ndio akili nyingi za wakenya ziko hivyo, walijiaminisha hivyo toka kizazi cha kwanza!

Ndio maana hata viongozi wao wanapata shida sana sasa hivi wanapojaribu kupenyeza ujinga wao wanashangaa wanakumbana na vigingi ambavyo zamani havikuwepo na walikuwa wanafanya wanachotaka.

Hii mizozo unayoiona sasa hivi mfano huu wa ndege sababu yake hasa ni ujinga uliokuwa unafanywa toka zamani na Wakenya wakijiona wao na kuiaminisha dunia kwamba tz si lolote.


Viva Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…