Different tweets from brothers and sisters of Kenya and Uganda

Different tweets from brothers and sisters of Kenya and Uganda

Huyo anaesema akifikiri tz ni kama kijijini kwao ndio akili nyingi za wakenya ziko hivyo, walijiaminisha hivyo toka kizazi cha kwanza!

Ndio maana hata viongozi wao wanapata shida sana sasa hivi wanapojaribu kupenyeza ujinga wao wanashangaa wanakumbana na vigingi ambavyo zamani havikuwepo na walikuwa wanafanya wanachotaka.

Hii mizozo unayoiona sasa hivi mfano huu wa ndege sababu yake hasa ni ujinga uliokuwa unafanywa toka zamani na Wakenya wakijiona wao na kuiaminisha dunia kwamba tz si lolote.


Viva Magufuli.
Ilo li bwege nililifuata kuke twitter nikaalaaiaona akili zake kama zwazwa yaannlina miwani kubwaa alafu lina paraa kama kota tukalipa facts nqona bichwa lake halielewi uchumi
 
Back
Top Bottom