Huyo anaesema akifikiri tz ni kama kijijini kwao ndio akili nyingi za wakenya ziko hivyo, walijiaminisha hivyo toka kizazi cha kwanza!
Ndio maana hata viongozi wao wanapata shida sana sasa hivi wanapojaribu kupenyeza ujinga wao wanashangaa wanakumbana na vigingi ambavyo zamani havikuwepo na walikuwa wanafanya wanachotaka.
Hii mizozo unayoiona sasa hivi mfano huu wa ndege sababu yake hasa ni ujinga uliokuwa unafanywa toka zamani na Wakenya wakijiona wao na kuiaminisha dunia kwamba tz si lolote.
Viva Magufuli.