Digital handycam/camcoder(video camera) inauzwa

Digital handycam/camcoder(video camera) inauzwa

mwandupe

Senior Member
Joined
Oct 16, 2008
Posts
108
Reaction score
62
digital video camera (handycam,camcoder) inauzwa .
Ni mpya ya sony , latest model dsr-sr45
features:internal hard disk 30gb.inarekodi hadi masaa 30,touch screen,portable,documents,manual book,accessories,carry bag na software cd’s zake zote zipo.
Bei:inaanzia laki 6 (tsh.600,000),but inaweza kupungua.
Piga namba: 0715 303320.
 
Mimi naihitaji sana kwa shughuli za huku vijijjini, lakini naomba pia punguza bei. Mwisho ni ngapi? Namba yangu ni 0754 377072
 
Unamaanisha DCR-SR45? Kama wadau walivyosema punguza bei.
 
Back
Top Bottom