Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
mind games...Huyu ni beki bora kama sio wa liverpool basi wa dunia, akitamka maneno haya kumhusu Leonel Messi 👇
View attachment 1079189
Nasema hivi-Bora amekuwa mkweli.
Smalling alisema nini?Hii ni kumuheshimu mpenzi wako!! Hupaswi kutukana mamba hujavuka mto..
Beki ya lyon baada ya game ya kwanza aliropoka kumkaba mbappe ni ngumu kuliko messi nikawaambia watu tusubiri game inayofata atajua mziki wa andunje..
Jamaa yangu smalling nae yale yale..
Aheri vd Amekuwa mkweli na pia kuonesh heshima kwa mpinzani wako..
Nawaombea kila la kheri majogoo wa london kuelekea kwenye game yao hiyo kwa heshima kubwa niliyonayo kwao kupitia mpira mwingi aliopiga legend(captain) midfielder bora ya kiingerza kupata kushuhudiwa na macho yangu.. C. Steven Gerrard
Hakuna cha mind games hapa, huyu beki na wenzake hawawezi kumdhibiti Lionel Messimind games...
atafunga 2 Camp Nou (2-1).Hakuna cha mind games hapa, huyu beki na wenzake hawawezi kumdhibiti Lionel Messi
atafunga 2 Camp Nou (2-1).
Salah 1, Mane 1 & Firmino 1 Anfield (3-1)
aggregate: Barca 3-4 Liverpool.
naitunza hii post!
Smalling : "There is a weakness in Messi that only I know about"Smalling alisema nini?
Ngolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziadaKing Messi hakabiki
Unstoppable Messi
Waţakuwa busy kumkaba Messi na watasahau kuna mnyama Suarez pia
Hawa Liver wanafùngwa kwao na away pia
Atleast uwaambie ao minions wa andunje waache ushabiki andaziNgolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziada
Basi angechukua World cup kila msimu .. . La Liga kila mwaka. . UEFA kila mwaka na la Bara Lao pia .. ROMA walimkaba vipi last season. .. Acheni Mungu aitwe MunguHakuna cha mind games hapa, huyu beki na wenzake hawawezi kumdhibiti Lionel Messi
atafunga 2 Camp Nou (2-1).
Salah 1, Mane 1 & Firmino 1 Anfield (3-1)
aggregate: Barca 3-4 Liverpool.
naitunza hii post!