Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
Huyu ni beki bora kama sio wa liverpool basi wa dunia, akitamka maneno haya kuhusu Leonel Messi 👇
Screenshot_20190423-161524_Instagram.jpg

Nasema hivi-Bora amekuwa mkweli.

EINSTEIN112
PNC
Prince Kunta
Alvajumaa
 
Hii ni kumuheshimu mpenzi wako!! Hupaswi kutukana mamba hujavuka mto..

Beki ya lyon baada ya game ya kwanza aliropoka kumkaba mbappe ni ngumu kuliko messi nikawaambia watu tusubiri game inayofata atajua mziki wa andunje..

Jamaa yangu smalling nae yale yale..

Aheri vd Amekuwa mkweli na pia kuonesh heshima kwa mpinzani wako..

Nawaombea kila la kheri majogoo wa london kuelekea kwenye game yao hiyo kwa heshima kubwa niliyonayo kwao kupitia mpira mwingi aliopiga legend(captain) midfielder bora ya kiingerza kupata kushuhudiwa na macho yangu.. C. Steven Gerrard
 
Smalling alisema nini?
 
Wakina Roberto carlos,ramos, Marcelo,pepe,chiellin, diego godin, vidic, varane,boateng, Rio ferdinand, cavajal n.k wamesarenda kwa Messi, huyu ataweza kumzuia!!! heri ukutane na Simba/Chui ila sio Messi.

Pia nimpongeze kwa kujisalimisha mapema ili asije akadhalilika that day, kuliko yule beki wa Man u kilichompata hatosahau.
 
King Messi hakabiki

Unstoppable Messi

WaĹŁakuwa busy kumkaba Messi na watasahau kuna mnyama Suarez pia

Hawa Liver wanafĂąngwa kwao na away pia
Ngolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziada
 
Back
Top Bottom