Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Hamna beki hapo....beki gani hyo anakua na wasiwasi na kiumbe dhaifu kama messi.Bado ajakomaa kama akina Ramos
kati ya beki ambazo Messi amezigaragaza ni Ramos na Marcelo, hawa hawataki kabisa kumsikia Messi.
 


Vipi Mzee, upo hai? Nimekuja kukusalimu...

3-0
 
Nataraji mpaka sasa umelala
 
Ngolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziada

Mnaona aibu kujitokeza...huyo ndie The King, mchezaji bora kuwahi kutokea....na huko kwa malkia ataenda kuwashikisha adabu kama sio hattrick utaniambia...
 
Nataraji mpaka sasa umelala
Nilisema anakabika - just assign someone appropriate kum-man mark mwanzo mwisho. Tofauti na hapo, ni maumivu makali. Liverpool na Man Utd hawakufanya hivyo. Offcourse the guy is gifted na huwa anaproduce magic moments ambazo huwezi "kukaba" - mfano ile free kick
 
Basi angechukua World cup kila msimu .. . La Liga kila mwaka. . UEFA kila mwaka na la Bara Lao pia .. ROMA walimkaba vipi last season. .. Acheni Mungu aitwe Mungu
kwani anacheza peke ake uwanjani mpira ni team .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…