kati ya beki ambazo Messi amezigaragaza ni Ramos na Marcelo, hawa hawataki kabisa kumsikia Messi.Hamna beki hapo....beki gani hyo anakua na wasiwasi na kiumbe dhaifu kama messi.Bado ajakomaa kama akina Ramos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kati ya beki ambazo Messi amezigaragaza ni Ramos na Marcelo, hawa hawataki kabisa kumsikia Messi.Hamna beki hapo....beki gani hyo anakua na wasiwasi na kiumbe dhaifu kama messi.Bado ajakomaa kama akina Ramos
hahahahahahahahahahahahaPale unapochambua mpira huku ukiwa umeshiba TOGWA
tena togwa na kiporo cha ugaliii...atomica la pulga...hatariiiPale unapochambua mpira huku ukiwa umeshiba TOGWA
Ila Liverpool haipo
Vd Ni Waziri Wa Ulinzi Naima Hatoniangusha
Messi anakabika vizuri tu. Mourinho enzi zake alikuwa anaweza. Technique yake ilikuwa kum-man mark. Yaani anamuassign mtu mmoja apande na kushuka nae kila anapoenda for 95 minutes.Lassana Diarra aliweza hiyo kazi japo kwa taabu. Mkimuacha Messi acheze kadri anavyojisikia, mtapata taabu mnoo na mtachakaa kweli
Kumbe VVD aliona mbali
Nataraji mpaka sasa umelalaMessi anakabika vizuri tu. Mourinho enzi zake alikuwa anaweza. Technique yake ilikuwa kum-man mark. Yaani anamuassign mtu mmoja apande na kushuka nae kila anapoenda for 95 minutes.Lassana Diarra aliweza hiyo kazi japo kwa taabu. Mkimuacha Messi acheze kadri anavyojisikia, mtapata taabu mnoo na mtachakaa kweli
Vip bado ina hold wateratafunga 2 Camp Nou (2-1).
Salah 1, Mane 1 & Firmino 1 Anfield (3-1)
aggregate: Barca 3-4 Liverpool.
naitunza hii post!
Ngolo Kante alimdhibiti Messi kwenye world Cup, Messi anakabika ila mabeki watumie mbinu za ziada
Liverpool itawafunga jamaa 3:0 mechi ya awali
Mimi ninaona aibu Liverpool kufungwa tatu.Mnaona aibu kujitokeza...huyo ndie The King, mchezaji bora kuwahi kutokea....na huko kwa malkia ataenda kuwashikisha adabu kama sio hattrick utaniambia...
Nilisema anakabika - just assign someone appropriate kum-man mark mwanzo mwisho. Tofauti na hapo, ni maumivu makali. Liverpool na Man Utd hawakufanya hivyo. Offcourse the guy is gifted na huwa anaproduce magic moments ambazo huwezi "kukaba" - mfano ile free kickNataraji mpaka sasa umelala
🤣 🤣 🤣. Ushauri haukufanyiwa kaziVipi Mzee, upo hai? Nimekuja kukusalimu...3-0
mashabiki wa man u muna midomo sana kila mtu apambane na hali yakeHapa nimekuka kufufua comments zenu...muwe mnaweka na akiba ya maneno
Mimi ninaona aibu Liverpool kufungwa tatu.
mashabiki wa man u muna midomo sana kila mtu apambane na hali yake
kwani anacheza peke ake uwanjani mpira ni team .Basi angechukua World cup kila msimu .. . La Liga kila mwaka. . UEFA kila mwaka na la Bara Lao pia .. ROMA walimkaba vipi last season. .. Acheni Mungu aitwe Mungu