Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Dijk- "Sijui tutamzuia vipi Messi"

Na hizi unazizungumziaje? Walifanikisha kumkaba?

1-Arsenal
2-Chelsea
3-Man u
4-Man city
5-Spurs
6-Madrid
7-Atletico madrid
8-Bayern
9-Bayern leverk
10-Juve
11-Psg
12-Lyon
Ila Liverpool haipo
 
Wakina Roberto carlos,ramos, Marcelo,pepe,chiellin, diego godin, vidic, varane,boateng, Rio ferdinand, cavajal n.k wamesarenda kwa Messi, huyu ataweza kumzuia!!! heri ukutane na Simba/Chui ila sio Messi.

Pia nimpongeze kwa kujisalimisha mapema ili asije akadhalilika that day, kuliko yule beki wa Man u kilichompata hatosahau.
Atletico 2016
Juve 2017
Roma2018
Kama messi hazuiliki basi hiyo miaka wangebeba uefa Barca peke yao
 
1082115
messsi.jpg
 
Hamna beki hapo....beki gani hyo anakua na wasiwasi na kiumbe dhaifu kama messi.Bado ajakomaa kama akina Ramos
 
Wakina Roberto carlos,ramos, Marcelo,pepe,chiellin, diego godin, vidic, varane,boateng, Rio ferdinand, cavajal n.k wamesarenda kwa Messi, huyu ataweza kumzuia!!! heri ukutane na Simba/Chui ila sio Messi.
Pia nimpongeze kwa kujisalimisha mapema ili asije akadhalilika that day, kuliko yule beki wa Man u kilichompata hatosahau.
Ahahaaaah...
Bila kukuta mchango wako huu uzi ungekuwa hauna maana..!
 
King Messi hakabiki
Unstoppable Messi
Waţakuwa busy kumkaba Messi na watasahau kuna mnyama Suarez pia
Hawa Liver wanafùngwa kwao na away pia
Chief...
Barcelona anafungasha virago,hii Liverpool inaenda kubeba UEFA..!
 
Kwa kiasi Fulani hii ni mind game..
Kwa kiasi Fulani kuna ukweli.
Kwa kiasi Fulani kuna uongo..

Humu nimeona kuna watu wanaongea mpaka unaweza kujiuliza hivi huyu anajua kupiga danadana hata moja???
 
Kama mess hazuiliki Bhas angekuwa ananyanyua Kwapa tu kila michuano anayoshiriki VVD n beki mwenye akili naamin atamkaba vizur Sana mess
 
Messi anakabika vizuri tu. Mourinho enzi zake alikuwa anaweza. Technique yake ilikuwa kum-man mark. Yaani anamuassign mtu mmoja apande na kushuka nae kila anapoenda for 95 minutes.Lassana Diarra aliweza hiyo kazi japo kwa taabu. Mkimuacha Messi acheze kadri anavyojisikia, mtapata taabu mnoo na mtachakaa kweli
 
Pale unapochambua mpira huku ukiwa umeshiba TOGWA
 
Back
Top Bottom