God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,033
- Thread starter
- #21
Ya ni kweliUjerumani ndio nchi yenye uchumi mkubwa katika umoja wa ulaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya ni kweliUjerumani ndio nchi yenye uchumi mkubwa katika umoja wa ulaya
Wewe ulikaa darasani kihalali kabisa, usithubutu kujutia hela aliyotoa Baba yako ili usome! tembe kifua mbele kwa sababu unajua, na unajua kuwa unajua!Holocoust ni hadithi ya kutunga? Ili watu wapigane vita ya pili ya dunia au lengo lilikuwa kuiweka israel pale mashariki ya kati[emoji15][emoji15]
Miarabu usiichukie sana, hiii ni Mi-Africa mchanganyiko na Magiriki, sasa Baba zao Magiriki hawayataki, na kuja kuwa kama Wa-africa wanaona ni tofauti sana, hata ikija huku tunaiita waarabu!Mijitu kama miarabu hainaga shukrani, imefanya kila aina ya hujuma kwa kusaidiwa na nato kumuua mkombozi wao cheki saivi inavyotapatapa.
Hata kama gadai alikua anakosea wangempotezea tuu maana na yeye ni binadamu wa kawaida ameumbwa kukosea.