Dikteta bora aliye likwamua eneo dogo la Singapore toka Malaysia kuwa Giant duniani

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Sio mwengine bali ni waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore bwana Lee Kuan Yew.

Mbeba maono aliye ivusha Singapore ka eneo kadogo kaliko kataliwa na Malaysia na kujitenga na kupata nchi yake iliyo jaa umasikini uliotopea lakini mbeba maono huyo aliivusha Singapore toka eneo dogo Asia na dunia kwa ujumla na kuwa eneo kubwa na muhimu kwa ukuaji wa kiuchumi na mfano wa kuigwa kwa mataifa makubwa kwa madogo.

Haikuwa kazi nyepesi lakini Lee aliigeuza kazi ngumu na kuitekeleza kwa ufasaha na kuiletea maendeleo Singapore.

Pamoja na udogo wake Singapore lakini leo hii ina uchumi mkubwa kuliko jumuiya nzima ya Afrika mashariki zaidi ya mara mbili.

Pongezi kwake dikteta bora mwenye akili na aliyejali kuhusu watu wake bwana Lee Kuan Yew rafiki kipenzi wa Deng Xiaoping aliye wachukia wakomunisti lakini alipendezwa na huyu mkomunisti wa tofauti rafiki yake mwenye mawazo ya tofauti na wakomunisti wengine.
00lee-kuan-yew-adv-obit-slide-A21E-superJumbo.jpg
 
Jambo gani una lifahamu toka kwa huyu bwana ?
 
Kuna tofauti ya autocrat na dictator
 
Naongezea nchi yenyewe ilikuwa maji ya bahari na minazi
Kichwa kweli huyo bwana.
 
Singapore ni eneo la kimkakati mkubwa kwa usafirishaji wa meli katika Asia ya Kusini Mashariki.
 
  • Thanks
Reactions: EEX
Kwa mwendo alikua akitupeleka dikteta uchwara, I am sure tungekuja kua zaidi ya Singapore. "Dikteta uchwara" yule alikua tofauti na madikteta wengi wa Africa, alifanana na madikteta wa nje ua bara hili, African dictators they are too selfish, they practiced dictatorship for their interests, outside Africa including that guy, they were doing it for the interests of their countries. RIP dictator uchwara
 
Sio mwengine bali ni waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore bwana Lee Kuan Yew.

Mbeba maono aliye ivusha Singapore ka eneo kadogo kaliko kataliwa na Malaysia na kujitenga na kupata nchi yake iliyo jaa umasikini uliotopea lakini mbeba maono huyo aliivusha Singapore toka eneo dogo Asia na dunia kwa ujumla na kuwa eneo kubwa na muhimu kwa ukuaji wa kiuchumi na mfano wa kuigwa kwa mataifa makubwa kwa madogo.

Haikuwa kazi nyepesi lakini Lee aliigeuza kazi ngumu na kuitekeleza kwa ufasaha na kuiletea maendeleo Singapore.

Pamoja na udogo wake Singapore lakini leo hii ina uchumi mkubwa kuliko jumuiya nzima ya Afrika mashariki zaidi ya mara mbili.

Pongezi kwake dikteta bora mwenye akili na aliyejali kuhusu watu wake bwana Lee Kuan Yew rafiki kipenzi wa Deng Xiaoping aliye wachukia wakomunisti lakini alipendezwa na huyu mkomunisti wa tofauti rafiki yake mwenye mawazo ya tofauti na wakomunisti wengine.
View attachment 3388572
Malaysia al deen! Dini ni hatari sana vifungo na maagano yake!
 
Hiyo Malaysia unayoisemea imeendelea kuliko mataifa yenu yote ya kipumbavu hapa Afrika.
Pia watu wa dini zote wanaishi kwa amani na kwa uhuru wa ibada.
 
Malaysia wanakula sana kitimoto,
Indonesia kwa muda mrefu imekuwa na Muslim abangan
 
Mpe hayo maelezo mwenzako ambaye ameanza kuleta masuala ya kidini.
Japo hilo la mwisho umenidanganya.
Indonesia ni nchi ambayo inashikilia uislam tena saanaaa sio kidogo.
 
Back
Top Bottom