Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.
Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.
March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.
Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.
Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.