Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta! Lkn mataga wanahusisha na popularity ya aliyefariki. Mataga bure kabisa !!Ukiwa raisi ukafa, lazima watu wajitokeze barabarani kwa wingi sana, because it is a historic moment
Wanyonge mtaishi maisha magumu sana kuanzia tarehe 26/03/2021! Maana Rais wenu baada ya kuzungushwa huku na kule, kinyume kabisa na mila na desturi zetu kwa ndugu zetu marehemu, atahifadhiwa sasa kwenye nyumba yake ya milele! Na maisha yataendelea kama kawaida kwa sisi ambao siyo wanyonge kama nyinyi.Acheni wivu na uvivu wa kufikiri. Msimlinganishe Magufuli na Stalin. Magafuli alipendwa na Stalin aliogopewa kama ilivyo Korea ya Kaskazini kwa sasa. Msitufanye hatuna akili.
Maisha yetu yatabadilika siku ukizikwa wewe na wenzio mnaosherehekea kama wale nyani wa kwenye hadithi waliosherehekea kifo cha mkulima wasijue watakufa njaa baadayeWanyonge mtaishi maisha magumu sana kuanzia tarehe 26/03/2021! Maana Rais wenu baada ya kuzungushwa huku na kule, kinyume kabisa na mila na desturi zetu kwa ndugu zetu marehemu, atahifadhiwa sasa kwenye nyumba yake ya milele! Na maisha yataendelea kama kawaida kwa sisi ambao siyo wanyonge kama nyinyi.
Tumieni bongo na haki zenu vizuri . Huwezi kulinganisha msiba wa Magufuli na mchawi wa kijijini kwenu. Ushamba nao mzigo sawa na ujinga kumbemleta mada umenena japo wachache watakupinga lakini ndivyo ilivyo hata kwetu tuishio vijijini siku akifa mchawi umati mkubwa hujitokeza kushuhudia mchawi aliyekuwa akiwasambua
Pamoja na ‘udikteta’ , Stalin ndiye shujaa aliye iokoa dunia wakati wa vita kuu ya dunia ya pili kutoka mikononi mwa wajeruman chini ya adolf hitler
Magufuli umemtaja wewe.Tumieni bongo na haki zenu vizuri . Huwezi kulinganisha msiba wa Magufuli na mchawi wa kijijini kwenu. Ushamba nao mzigo sawa na ujinga kumbe
vp walikua wanalia?Mnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.
Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.
March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.
Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.
Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.
View attachment 1733441
Jibu lipo kwenye uzi. Soma tena mkuuvp walikua wanalia?
Bado sana kwa kiongozi wa sasa kumfikia durtete hivi tz ingeongozwa na mtu kama huyo si watu wangeliaaaMm namfananisha na rais wa nchi fulani (sikumbuki jina lake) aliyefariki hivi karibuni
Watu wengi sana wamelia mkuu.Bado sana kwa kiongozi wa sasa kumfikia durtete hivi tz ingeongozwa na mtu kama huyo si watu wangeliaaa
Ova
Acha kushika miti. Watu 209 walijiua na kuomba wazikwe pamoja nayeHivi huyu stalini aliliwa na watu walishika matawi ya miti?
Ukiona hivyo ujue walikuwa na wenyewe wana wasiwasi kama anapendwa au la!Swadakta! Lkn mataga wanahusisha na popularity ya aliyefariki. Mataga bure kabisa !!
Wewe upo mioyoni mwao,mzee anapendwa acha WivuMnyama ama mtu hatari akifa/akifariki watu huwa wanajitokeza kwa wingi kushangaa.
Nakumbuka ktk kijiji chetu aliuawa chatu mla watu aliyesumbua kwa miaka mingi sana, watu toka karibu vijiji vyote 8 vya kata yetu walimiminika kuja kumwangalia. Huyo ni chatu ambaye wala siyo mwanasiasa achilia mbali kwamba alihatarisha maisha ya watu.
March 1953, alifariki dikteta katili Sana nchini Urusi lkn mamilioni ya warusi walimiminika kwenda kuthibitisha na kumshangaa.
Watu wanaoenda kushuhudia ama kushangaa huangua vilio kwasabb huwakumbuka wapendwa wao waliopoteza maisha yao kwasabb ya mnyama/mtu huyo.
Kwahiyo usije ukatumia wingi wa watu kuhitimisha kuwa marehemu alikuwa kipenzi cha watu.
View attachment 1733441