Dikteta Stalin wa Urusi ndiyo anashikilia rekodi ya kuagwa na watu wengi zaidi 1953

Acheni wivu na uvivu wa kufikiri. Msimlinganishe Magufuli na Stalin. Magafuli alipendwa na Stalin aliogopewa kama ilivyo Korea ya Kaskazini kwa sasa. Msitufanye hatuna akili.
Wanyonge mtaishi maisha magumu sana kuanzia tarehe 26/03/2021! Maana Rais wenu baada ya kuzungushwa huku na kule, kinyume kabisa na mila na desturi zetu kwa ndugu zetu marehemu, atahifadhiwa sasa kwenye nyumba yake ya milele! Na maisha yataendelea kama kawaida kwa sisi ambao siyo wanyonge kama nyinyi.
 
Mleta mada umenena japo wachache watakupinga lakini ndivyo ilivyo hata kwetu tuishio vijijini siku akifa mchawi umati mkubwa hujitokeza kushuhudia mchawi aliyekuwa akiwasambua.
 
Maisha yetu yatabadilika siku ukizikwa wewe na wenzio mnaosherehekea kama wale nyani wa kwenye hadithi waliosherehekea kifo cha mkulima wasijue watakufa njaa baadaye
 
mleta mada umenena japo wachache watakupinga lakini ndivyo ilivyo hata kwetu tuishio vijijini siku akifa mchawi umati mkubwa hujitokeza kushuhudia mchawi aliyekuwa akiwasambua
Tumieni bongo na haki zenu vizuri . Huwezi kulinganisha msiba wa Magufuli na mchawi wa kijijini kwenu. Ushamba nao mzigo sawa na ujinga kumbe
 
Pamoja na udikteta wake, kuna mazuri ambayo Magufuli amefanya. Kilangila.
Pamoja na ‘udikteta’ , Stalin ndiye shujaa aliye iokoa dunia wakati wa vita kuu ya dunia ya pili kutoka mikononi mwa wajeruman chini ya adolf hitler
 
vp walikua wanalia?
 
Mm namfananisha na rais wa nchi fulani (sikumbuki jina lake) aliyefariki hivi karibuni
Bado sana kwa kiongozi wa sasa kumfikia durtete hivi tz ingeongozwa na mtu kama huyo si watu wangeliaaa

Ova
 
Bado sana kwa kiongozi wa sasa kumfikia durtete hivi tz ingeongozwa na mtu kama huyo si watu wangeliaaa

Ova
Watu wengi sana wamelia mkuu.

Waliobomopewa pale Kimara.
Ndugu wa Azory.
Ndugu wa Ben Sa8.
Ndugu wa Lisu, Kabendera, Rugemalira, Harbinder Seith, n.k
Ndugu wa wafanyabiashara waliofilisiwa, walioporwa fedha zao n.k
Wakulima wa korosho.
Wakulima wa mahindi na mbaazi.
N.k
 
Swadakta! Lkn mataga wanahusisha na popularity ya aliyefariki. Mataga bure kabisa !!
Ukiona hivyo ujue walikuwa na wenyewe wana wasiwasi kama anapendwa au la!
Unfortunately wanatumia mkusanyiko wa "Matanga" kupima kukubalika kwake "kisiasa", Wanakosea maana siyo kawaida ya Mtanzania kumnunia marehemu
 
Wewe upo mioyoni mwao,mzee anapendwa acha Wivu
 
Mbona Iddi Amini, Hittler na Bokassa hawajaliliwa wametofautiana nini? Na wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…